Tanzania ni full Mitumba........... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania ni full Mitumba...........

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Makindi N, Mar 21, 2011.

 1. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Unakuta mtu ni full mitumba, "kawoshi - mtumba, shati, suruali, bukta ya ndani, chupi, soksi, saa, viatu, shoe lace, miwani, cheni, kofia, leso... ni mitumba. Nywele kanyoa kwa mashine ya mtumba. Kalalia shuka ya mitumba, kitanda - mtumba, carpet chumbani mtumba, mto, foronya mitumba. Vitabu - mitumba, kasikiliza radio - mtumba, TV mtumba. Hata hizo radio na TV programs ni mitumba. AC chumbani -mtumba, vyombo vya kupikia - mitumba.....

  Mabarabarani magari yaliyojaa ni mitumba, baiskeli, vipuri - mitumba. Barabara zetu za Big G ni mitumba tu. Ndege zetu za abiria - mitumba tu. Umeme tungewahi kidogo kubadilisha sheria zetu tungenunua mitambo ya Dowans - mitumba.

  Kumbe ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kwamba kumbe akili zetu ni mitumba, tuna wanasiasa mitumba, misaada tunayopata ni mitumba tu, experts na wasomi wetu ni mitumba tu ya elimu ya nje na wanasiasa wetu. Mitaala yetu mashuleni ni mitumba tu. Yaaani ni mitumba from Dar - Kigoma and from Mara - Mtwara etc.

  Ni wapi ambapo Tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha Tanzania kuwa mitumba?
   
 2. Khakha

  Khakha JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 2,983
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Pia raisi na serikali yake wote ni mitumba.

   
 3. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hadi wewe mwenyewe unatumia mtumba katika kuandika iyo threads..
   
 4. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Yaani ni baraaa - Full Mitumba tu......
   
 5. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ha ha haaaa!! Hata msosi unaokula ni mtumba!!!
   
 6. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hata wanawake/wanaume tunaooa/olewa ni mitumba!
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia statistics za supply za magari ya mitumba ya Japan si yote yanakuja Tanzania hata nchi za Ulaya! Sasa mbona thread yako imeishia hewani - hakuna hata chanzo cha mitumba hii?
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Vicious Circle ya Mitumba. Kutokana na kuwa mitumba, tunachagua viongozi mitumba, wanatuletea mikataba mitumba, tunazidi kuwa mitumba zaidi.
   
 9. joellincoln

  joellincoln Senior Member

  #9
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hahahahaah, inauma lakini umenifurahisha sana duh good thinking, hahahahah!
   
 10. s

  shosti JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  wanasiasa wote..........:lol:
   
 11. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni wapi ambapo Tanzania si mitumba? Matatizo/shida ni sehemu ya shida/matatizo kwa binadamu, lakini kwanini tuendelee kuwa katika dimbwi la starehe kwa maana ya resources tulizonazo (km nchi) lakini ziwe ni chanzo cha Tanzania kuwa mitumba? Utakua umenisoma mzee........
   
 12. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Umeniwahi ila hii mitumba hatujui imetoka nchi gani au ni aliens?
   
 13. bwegebwege

  bwegebwege JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 1,031
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Babu wa Loliondo dawa zake si mitumba, ni fresh...Babu Dogo wa Mbeya si mitumba, dada wa Tabora si mitumba!! Tunayo ya kujivunia!!
   
 14. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  nimeipenda avatar yako ya mzee wa caracas...kama haya si mitumba....Amandla
  [​IMG]
   
 15. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Akili za mitumba zinawajaza watu kule mkuu............
   
 16. G

  Gari New Member

  #16
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi haizalishi kitu....unategemea nini..kama ni nguo labda wote wavae khanga na vitenge..
  ..mtumba ni kile kilichotumika tayari nje ya nchi..sasa kama si mtumba basi ni Mchina

  Twafaaaaaaaaaaaaa
   
 17. shanature

  shanature JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 718
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  KILA KITU MITUMBA HADI AVATAR ZA WENGI HAPA TUNAPOJIONA TUNAJUA NI MITUMBA,,,,,KITU KIDOGO KAMA HICHO UNASHINDWA KUBUNI CHAKO,,,,,,,MAJINA NAYO YA WENGI NI MITUMBA HAPA JF,,,MITUMBA KWELI KILAKONA,,KASORO SAFARI NA KILMANJARO NA BALIM BEAR,im proud of it!
   
 18. d

  doxtgblaze Senior Member

  #18
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 2, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wot the business apo? is that a joke..? I guess it is then go to the joking forum............
   
 19. Bernard Rwebangira

  Bernard Rwebangira R I P

  #19
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana kwa mtizamo wako, inauma lakini ni kweli, tutarajie nini tukiwa na watawala mitumba?
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Kuna mtangazaji fulani nilimsikia anaongelea ishu ya mitumba. Ndio wewe nini!
   
Loading...