Hii maalum kwa wajasiria mali wa perfumes,saa na mawani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii maalum kwa wajasiria mali wa perfumes,saa na mawani.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Arkad, Mar 27, 2011.

 1. A

  Arkad Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari wadau..
  perfumes,saa na mawani kwa bei za jumla . Aina yeyote ya bidhaa za makundi hayo zipo..order ndogo pieces 50 bei ya piece moja haizidi $ 20..order ndogo ya chini pieces 50 hatupokei, order ikizidi kuwa kubwa bei inapungua kwa piece moja..Ukiitaji container ya bidhaa unapata pia...Bidhaa originals.


  Arkad
  arkad690@yahoo.co.uk
  Moscow, Russia.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  DU!
  Machinga mpoo?
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  tupoooooo!
   
 4. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  brand zipi,au ndo feki za outside china.kwani siku hizi wachina wanafungua viwanda in low labour cost countries,russia,ukrains,poland etc
   
 5. A

  Arkad Member

  #5
  Mar 31, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  brand zote zipo. Sio feki.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,966
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Wenyewe wanasoma hii kitu?
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  good post. ebwana tusaidie nasisi tunaohitaji kuuza vifaa vya ujenzi na umme. nipo mikoani kuna demand kubwa.
   
Loading...