Hii nchi Viongo wakupigwa Bakora!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Tanzania lost USD 308m as tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to bhartel. Source TRA
 
Tanzania lost USD 308m as tax revenue from sale of Zain Africa assets in Tanzania to bhartel. Source TRA
Halafu mkulu anakesha kutembeza bakuli,TRA wanafanya kazi gani?Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr mwe,shamba la bibi
 
Kuna member kasema hata Punda anaweza kuwa rais wa tz. Naanza kuamini kuwa ni kweli
 
Mbeya mkuu wa wilaya analazimisha watu wachangie 10,000 ujenzi wa shule, Diwani kagoma kasema wachange only 3,000
DC anadai serikali haina pesa sasa hizi ni nini?
 
Wana JF, Issue ni kwamba hizo hela zinalipwa japo robo tatu lakin zinaingia mifukon mwa wajanja wachache tu halafu mnaambiwa ni msamaa wa kodi.!!. Fikiria nchi maskin kama Tz inayotegemea BAKURI inasamehe kodi. Duh hata mungu hapendi.
 
Back
Top Bottom