Deudatus Balile Ateuliwa Mhariri Mtendaji wa New Habari Corporation

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,942
428
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja

Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini
 
muhingo, from one fisadi to another fisadi.... he loves dem greens and colors
 
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja

Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini

hapo kwenye red nahitaji kusaidiwa, huyu mhigo rweyemamu anaelimu gani mpaka awe Personal assistant? na PA wa manji kazi yake ni nini? kumtawaza boss na watoto wake au ni nini
 
Kampeni za 2015 ndio zimeanza rasmi, mtaona vibweka vya kila namna. hamna habari mpya hapo ni mafisadi tu wanapanga strategy zao.
 
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja

Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini

Kamanda hapa sio issue ya CV ya huyu jamaa, najua kateuliwa wiki kama mbili sasa! Lakini juzi kanishtua baada ya kikao chake na wahariri huku akijisifu kuwa sasa milango kwa RA imefunguliwa na kama mhariri ana shida na RA apitie kwake. Nionavyo sasa hivi kampuni hiyo iliyokuwa imeanza kufanikiwa sasa itashuka tena. Huu ni mkakati wa siku nyingi wa SALVA Rweyemamu ambao ni ndugu yake Balile maana Salva anaamini sasa mkakati wa stori za Riz1 zitakuwa hazitoki tena katika magazeti ya HCL. Nionavyo kampuni hii na nafasi hii kwa Balile anayefahamika kwa kula huku na kule hakuna jipya tutarajie naye ahamie kwa Manji punde RA akimgundua vema.
 
Huyu Balile hafai kujadiliwa humu anatumalizia band tu, nakumbuka alivutaka kitu kama laki sita kwa mzee wetu Mengi kisha akaulizwa akabisha na baadaye akakubali kuwa alipewa ili anunue notebook za shule! Nyambafu kabisa huyu jamaa
 
sasa ninakusoma
 
hii nchi haina kiranja tena,bila wananchi kuamka itafika mahali watatamba wazi na tutawaangalia,watawapiga kofi akina kova tutasema wanachuki binafsi! The magic secret finally revealed! Kwahiyo?
 
Mkurugenzi mtendaji wa New Habari corporation Hussein Mohamed Bashe Amemteua Deodatus Balile kuwa mhariri mtendaji wa New Habari Corporation ,Kabla ya Uteuzi huo Balile alikuwa ni mhariri Mtanzania .Taarifa iliyotolewa Bashe inasema uteuzi huo unatokana na muundo mpya wa kampuni ,Balile anachukua nafasi liyoachwa wazi na Mhingo Lyemamu ambaye kwa sasa ni Msaidizi (Personal asistant) wa Yusuph Manji.Dany Mwakiteleko anaendelea na wadhifa wake Naibu Mhariri ,Uteuzi huu unaanza Mara moja

Wana JF tuanaomba mwenye Cv ya Balile aiweke hapa jamvini
Wana JF tutarajie mgogoro mkubwa sana kati ya huyu jamaa na Bashe na ukilitazama hili jambo humu kwetu ndani tumeanza kuona mgogoro unakuja katika kikao cha wahariri kuliletwa swala la uhuru wa waandishi kuamua aina ya stori kuandikwa na hasa waandishi hawa kwa muda mrefu ndio waleeee walikua wanaandika habari za kulamba miguu wakubwa na kuisifia ccm,Balile alitumbia BASHE haruhusiwi kuingilia maamuzi ya editorial na hatoingilia katika story.nafahamu hili litaleta mgogoro huyu bashe amekua akisaidia kuandika hata story hapa kwetu sisi tunakumbuka matukio ya gongolamboto na ni msaada sas hatujui huu ni mpango wa kina salva ama inakauje.
 
Back
Top Bottom