Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

wanajf naomba wenye taarifa za kibenk nakoweza pata personal loan bila longolongo za momorandam of understanding kati ya employer na Bank. mabenk mengi naona hawakubali kukopesha kama hamna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanaJF, hv utoaji wa hati za kumiliki ardh vijijin /wenyewe wanaita hati za kimila/ zinatolewaje? Ni mikoa gan? wilaya zake, vijiji gan vilivyopo kwenye mpango huo wa serikali yetu ya magamba? JE...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mwisho wa mwezi ukifika payslip inoposoma karibu na zero! najiluza maswali mengi sana. Aibu inaniingia mwanaume wa nguvu ivi watu wakijua payslip inasoma karibu na zero itakuwaje. watoto wangu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau, Eti biashara gani halali (kwa kuorodhesha zote unazojua) zinaweza kuingiza kipato cha TSH 1,000,000.00 kwa mwezi hapa nchini? na kwa kila biashara inahitaji mtaji wa kiasi gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shortage of crucial skills a threat to growth, say CEOs Thursday, 30 June 2011 21:58 By Al-amani Mutarubukwa The Citizen Reporter Dar es Salaam. Unavailability of a skilled workforce in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania tumekuwa tukitumia Old & new currencies kwa muda mrefu! Naomba kujua kati ya Old Vs new currency ni ipi haswa inayotakiwa kubaki? Je ni lini mwisho wa kutumika kwa mojawapo? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kumchomoa Ami Mpungwe kwenye u-Executive CEO sasa kampuni yetu ya Tanzanite kubadili jina: JOHANNESBURG (miningweekly.com) − Aim-listed gemstone miner TanzaniteOne said on...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau, natafuta carina ti ya kununua, kwa yoyote mwenye detail za msingi tuwasiliane. Pm mi tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Mafunzo na Ufundi Stadi Tanzania (VETA) imesema kuwa wameunda gari linalotumia mfumo wa sola. Mtafiti wa Soko la Ajira wa VETA, Abdallah Mhagama, alisema gari hilo walilolibuni halina...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Ndugu yangu katika mfumo soko asili kiwanda huzalisha bidhaa hufanya masoko (media,mabango,....) na kumuuzia agent kisha agent humuuzia mfanyabiashara wa jumla na mufanya biashara wa jumla...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dear Friend, If you feel like you’re struggling way too hard to make it in network marketing and nothing is happening, I wrote this letter specifically for YOU. Have you ever thought to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
U-Track ni ya nani? MBona wanalazimishwa wamiliki wa mabasi kufunga U Track kwa gharama kubwa namna Hiyo???!!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nini tigo mnatutoza pesa huduma kwa wateja? Mimi ni mteja wenu nikitaka kuongea na mtoa huduma wenu lazima nilipe tsh 50 mbona ni uonevu huo? Au mnataka tusiombe msaada huduma kwa wateja?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau/waheshimiwa wabunge/mawaziri wetu/wakurugenzi wetu/na wenye nyadhifa za maamuzi mazito ya kuijenga nchi hii, naomba msaada hapa, Kuna haja ya kununua magari yaliyotumika Japani kwa bei ya...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
I was bored at work and began looking on CBSs local self-employed spotlight on tuesday and then studied about some new work at home career that helps school kids consistently bring home around...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania ni nchi ilojaa raslimali kemkem! That is natural resources, human resources, as well as man made/capital resource but still our economy is doing poorly! Now I wish 2hear from u WanaJF! Je...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natumaini mnaendelea kujenga taifa....najua humu ndani kuna wataalam wa fani mbali mbali , mimi fani yangu iko mbali na hivi vitu. jamani wana jamvi hebu naombeni mnisaidie kupata gharama ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kila kukicha binadamu anazidi kuvumbua mambo yatakayo mpunguzia makali ya maisha. katika pita pita yangu nimeona hii biashara nami nikaona niwajuze wenzagu katika jf wanaweza kutupa mwanga zaidi...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
Salama wadau .... Kwa walio wenyeji wa mji wa Uganda naomba mwongozo .. Nataka kutembelea Uganda kipindi cha mapumziko yangu siku chache zijazo pia niangalie biashara gani zinapatikana huko kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana JF nisaidieni nakala ya bajeti ya mwaka 2011/2012 ambayo ilifanyiwa marekebisho kidogo na kupitishwa na Bunge. Ninayo nakala ya Mkulo pekee ambayo ina mapendekezo tu, lakini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom