Hivi ni kweli UCHUMI wa TZ unakua kwa 7%

reformer

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
387
101
Mi siamini if this is true, nahisi hizi data zinapikwa..what are your comments guys?
 
Data nadhani si ya kupikwa ina ukweli ndani yake tazama hapa.Labda nadhani wananchi wa kawaida wanashindwa kuifahamu maana halisi ya hio data.
 
Ujue ishu sio kukua uchumitu!
hivi kama ni kweli uchumu umekua kwa 7% lakini hali ya ugumu wa maisha
imeongezeka kwa 14% tutasema uchumi umekua??
 
Ulizeni wazee wenu kama waliweza hata kuyaongea hayo miaka 25 iliyopita, ndio mtajua kama uchumi unakua au unashuka.
 
Ukiacha mafisadi, Uchumi wa Tanzania unakua pia kwenye data/figures zilizoko maofisini mwao, sio mifukoni mwa walalahoi
 
Mi siamini if this is true, nahisi hizi data zinapikwa..what are your comments guys?
habari zinasema kutokana na tatizo sugu la mgawo wa Umeme ukuaji wa uchumi umepungua toka 7.2 hadi 6. uchumi haukui kwa sasa ila unashuka
 
Ukifanya comparative analysis utagundua kuwa nchi za kimasikini uchumu ndiyo unakuwa kwa asilimia kubwa lakini kama nchi tayari ina maendeleo basi uchumi haukui kwa kasi sasa. Chukulia tu mfano huu. Mtoto akiwa mchanga ndipo unapo ona kasi kubwa ya ukuaji lakini mtu akishakuwa mtu mzima kasi ya ukuaji ni ndogo sana. kwa hiyo asilimia hiyo 7 ni ishara tu ya umasikini wetu.

fig4-1.gif

Source: World Bank

Kwenye yellow ni "Low-income countries" na ukiangalia GNP yao inakuwa kwa wastani wa 5.9% na nyekundu ni "High income countries" na uchumi wao unakuwa kwa wastani wa 2.8%.

Tukija kwenye GNP per capita Low income countries zinakuwa kwa kasi ya 3.8% wakati High income countries zinakuwa kwa wastani wa 2.1%

Kwa hiyo mtu asipo jua kusoma data za ukuaji wa uchumi ndiyo hivyo anaweza kudanganyika na hiyo 7% ila ukweli ni kwamba nchi karibia zote masikini zinaonyesha ukuaji mkubwa zaidi kwa sababu kuna gap kubwa zaidi ya kucover. Au kweli mtu anaweza akaja na kutudanganya kuwa uchumi wa Tanzania unaokuwa kwa asilimia 7 una nafuu kuliko wa hizi nchi tajiri zinazo kuwa kwa asilimia 2.8?
 
Ulizeni wazee wenu kama waliweza hata kuyaongea hayo miaka 25 iliyopita, ndio mtajua kama uchumi unakua au unashuka.

Utalinganishaje miaka 25 iliyopita na sasa? Hata hao walio kuwepo miaka 25 iliyo pita walikuwa wana nafuu kuliko walioishi miaka 25, 50, 100 kabla yao.
 
wanaofurahia huo uchumi ni 5% of population, the cream of fisadis... Azimio la Zanzibar we R officially Capitalist Nation

No more Equality... Na bado
 
Ukuaji wa uchumi pia ulinganishwe na mfumuko wa bei.
Pili 'per capita income' ni uzushi mwingine ambapo eti mfano mimi, maxence, chenge, 22nd, jairo, mengi, rostan tunachanga kipato chetu halafu tunagawa kwa idadi yetu halafu inaonekana nami ni kabilioni flani hv,
wakati ki ukweli kutwa ya leo nimeshindia mihogo
 
Utalinganishaje miaka 25 iliyopita na sasa? Hata hao walio kuwepo miaka 25 iliyo pita walikuwa wana nafuu kuliko walioishi miaka 25, 50, 100 kabla yao.

Sio Tanzania ya miaka 25 iliyopita. Uliza wazee wako wakueleze labda wao utawaelewa.
 
Hakuna ukuaji wa uchumi.tbc wanaweka maneö ya jk kuwa 'nchi za wenzetu wanaona uchum unakua ila sis wazawa hatuon kitu. Mwaka 2006 mach nilinunua bati bndle 1 sh 132000 leo ni 250000,rangi coral paint 4 ltr ilikuwa sh elfu 7- 7.5, leo ni elfu 17. Nondo mm 16 ilikuwa elfu 12 leo ni elfu 30. Sukari sh 800 leo ni sh elfu 2. Ukuaji wa uchumi huko wap?labda uchumi umekua kwa KUVAA YEBO,KUNUNUA MAPKIPKI YA KICHINA etc.
 
hizo data ni uongo hakuna ukweli hata siku mmoja. hivyo tuhangaikeni wala tusiangalie figure ya hizo data
 
Back
Top Bottom