Kwanini BANK za Tanzania zina Customer Service Mbovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini BANK za Tanzania zina Customer Service Mbovu

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by AirTanzania, Mar 17, 2011.

 1. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Nimesikitishwa sana na Huduma zinazotolewa na bank za hapa nchini, huduma zao ni mbovu zisizojali wateja na wafanyakazi wa bank wanadharau utafikiri huduma hiyo ni ya bure kumbe unalipia all transaction na isitoshe pia kuwa mishahara yao inatokana na wateja kuweka au chukuwa pesa. Isitoshe ukiingia bank utamuona mfanyakazi wa bank anachezea kasimu kake kana kwamba wameajiriwa kuchezea simu. Ukiomba kukutana na Meneja ili utoe malalamiko utazungushwa na kuulizwa maswali utafikiri umekamatwa na polisi kwa kosa la kuua. Kwa nyie Mameneja na vibaraka wenu mnaofanyakazi za bank kuweni wastaarabu kwa kuwasiliza wateja. Ninavyojua mimi kuwa Bank hairuhusiwi kuzungumza na simu wala kuchezea simu ikiwa na maana kuwa kama mtu amekuja kuchukuwa pesa halafu kama unawaambia vibaka nje kuwa mtu amevaa ngu rangi hiyo amechukuwa kiasi hicho, kutumia simu Bank ni uhalifu hasa kama mfanyakazi wa ndani. Kwa kweli sifurahiwi na huduma zenu.
   
 2. M

  Matarese JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kaka nakushauri kama una pesa bongo ziwekeze kwemye miradi au ukishindwa fukia chini home kwako kwani benki za bongo ni full maumivu hakuna hata benki moja inayojali wateja! pesa za kwako lakini maumivu unayopata hayana maelezo.
   
 3. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu imenitokea hata mimi hasa NBC ninauzoefu nayo huwa nachukia sana!
   
 4. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180

  Nenda KCB wako kiKENYA KENYA!
   
 5. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #5
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  kwamba ni nzuri and fast au mbaya?
   
 6. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Oh, karibu jukwaani mkuu!
   
 7. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Mkuu nazungumzia Bank za hapa nyumbani jinsi zilivyokuwa na huduma mbaya, hayo mambo ya Kikenya Kenya sijui kwa kuwa sijawahi kusafiri Kenya na siwezi kuzungumzia mambo ya Kenya. Nafikiri umenielewa kuwa huduma za bank zetu hapa nyumbani is poor service kwa wateja
   
 8. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  Tatizo wao wamelogeka kuwa CC wahudumu wanatakiwa wawe wanawake. wanawake wakiwa CC sehemu yoyote nenda utaikuta huduma ni mbaya tu, kwani kujipodoa kunakuwa kwingi na wengine wanachukulia kama ni fulsa ya kujiuza. Ivi nani kaenda CC makao makuu Stanbic bank? wale madada wanashindana kukaa uchi na kuvaa viatu virefu. Hali hiyo huwafanya wawe na malingo kupita maelezo. Na katika post fulan iliyokuwa inasema kuwa 45% wanawake wanagongwa kabla ya kupata kazi basi most of them ni hao
   
 9. M

  Matarese JF-Expert Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  mm nilishaacha kutumia benki za benki, pesa zangu zote nazichimbia home tu hakuna usumbufu shwari kabisa!
   
 10. M

  Matarese JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Tanzania
   
 11. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #11
  Mar 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo si benki bali na wateja wenyewe. Leo mtu anakwenda anakumbana na huduma mbovu halafu anaendelea kubembeleza. Hata dukani mtu anakwenda kununua anaibiwa na kesho anakwenda duka lilelile. Dawa ni kufunga akaunti. Kila mtu anatakiwa akikutana na huduma hii, hapo hapo anaanza taratibu za kufunga akaunti, watanyooka tu hawa. Maana kuna watu wanapewa target za kutafuta customers wenyewe wanacheza na customers. Mchezo wa kuongea na simu kazini ni mbaya saana na umeota mizizi Tanzania tena si benki tu.
   
 12. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  CRDB nadhani kwa sasa wamepata kiburi baada ya kuwa na wateja wengi mno...., ni masharobaro wa kufa mtu!
  Jambo la kwanza linaloniboa sana mimi ni kitendo cha kuwa na vibanda 6 vya tellers, halafu unakuta cashiers wako wawili tu, vibanda vingine viko empty!...Natamani niingie kule ndani wanakozunguka zunguka na kuwakwida kuwapeleka kwenye vibanda vya cashier.
  Hata cashier anayekuwa kibandani unakuta anajigeuzageuza tu, wala hajali fioleni iliyo mbele yake!
  Kwakweli dawa ni kufunga account tu!
   
 13. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu hapo umenena benki zote bongo ni maumivu. Customer service is below ZERO. Yaani we acha tu.
  EXIM Bank ndio balaa tupu
   
 14. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 875
  Trophy Points: 280
  Wengi wao ni mbumbu kabisa wanadhani zile pesa strong Room ni za baba zao na hapo ndipo kiburi kinapoanzia!!!!!!
   
 15. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Exim Bank Tawi gani mkuu? Kuna matawi karibu 22 sema Tawi gani mkuu?
   
 16. VUVUZELA

  VUVUZELA JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2011
  Joined: Jun 19, 2010
  Messages: 3,106
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Tawi la Tanga ndio linaongoza kwa huduma mbovu, na yooote ya hapa Dar. Nimekuwa nikipata kero kila toka tawi moja hadi lingine hapa Dar. Sina hamu
   
 17. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tusiwalaumu sana, HAPA TANZANIA NIMETAFITI KATIKA UNIVERSITIES ZOTE LAKINI HAKUNA COURSES ZA CUSTOMER CARE. Ikumbukwe...ili mtu awe ni customer care mzuri basi yampasa aelewe na kuzingatia (practically) juu ya ethics za kazi hiyo. Kiufupi SI BENKI PEKE YAKE, BALI TAASISI NYINGI NA MAKAMPUNI MENGI HAYANA PROPER CUSTOMER CARE AIMED AT DELIVERING QUALITY SERVICE. Nimetafiti hili kwa kitambo, wengi wa customer care representatives/agents ni aidha 'wameletwa' au wapo on transit kuelekea ktk fani zao husika.
   
 18. M

  Matarese JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2011
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35

  Mkubwa umenikumbusha, kuna dada CRDB , Udsm branch, watu wengi sasa wameamua kufunga akaunti zao kutokana na kauli mbovu za huyu dada.
   
 19. Jaguar

  Jaguar JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 3,409
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135

  Mi napokwenda bank nikikutana na CC mwanaume mwenzangu at least huwa na breath a sigh of relief lakini si vile vinuka mkojo vilivyomaliza form six juzi na vi simu vyao vya mchina!
   
 20. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mkuu nilitaka kukimbilia kale ka report botton lakini nikagundua kuna ukweli asilimia 120 kwenye hii kauli yako.
   
Loading...