Airtel vipi kulikoni mbona aibu kama ndio hivi

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Nipo na ndugu mmoja hapa ambaye ameajiriwa Airtel, anayonieleza sio ya sekta ya simu, hasa kampuni za simu za mkononi, wafanya kazi wana hali mbaya sana, aidha ni sisi kwa sisi tunanyanyasana au ni kampuni yenyewe imeanza kuwa na sera mbovu za kuwa support wafanya kazi wake kiuvivu uvivu huku wakijivunia faida kubwa kama tunavyojua... kwa uchache... mishahara imekuwa ikichelewa... vitendea kazi hafifu... unatumwa mkoani unaapakizwa basi na promotion materials in bulk (wakati hii ni kazi ya carriers) bila kupewa hela ya uhakika ya usafiri... Mikataba imekuwa haiko wazi tena ni ya utata utata hebu nijuzeni mlioko jikoni maana hili linashusha kile ambacho wengi tunaamini kuwa kampuni za simu ni sekta mojawapo inayoheshimika sasa ya ajira na kibiashara... Kama hili ni kweli itabidi tuliweke bayana kwa wateja maana hadhi ya kampuni ni muhimu sana kama mnataka niwe mteja wenu
 
mkuu

hata hii internet service yao itawashinda , speed is very slow yaani kbps zinacheza na 0.
 
Nipo na ndugu mmoja hapa ambaye ameajiriwa Airtel, anayonieleza sio ya sekta ya simu, hasa kampuni za simu za mkononi, wafanya kazi wana hali mbaya sana, aidha ni sisi kwa sisi tunanyanyasana au ni kampuni yenyewe imeanza kuwa na sera mbovu za kuwa support wafanya kazi wake kiuvivu uvivu huku wakijivunia faida kubwa kama tunavyojua... kwa uchache... mishahara imekuwa ikichelewa... vitendea kazi hafifu... unatumwa mkoani unaapakizwa basi na promotion materials in bulk (wakati hii ni kazi ya carriers) bila kupewa hela ya uhakika ya usafiri... Mikataba imekuwa haiko wazi tena ni ya utata utata hebu nijuzeni mlioko jikoni maana hili linashusha kile ambacho wengi tunaamini kuwa kampuni za simu ni sekta mojawapo inayoheshimika sasa ya ajira na kibiashara... Kama hili ni kweli itabidi tuliweke bayana kwa wateja maana hadhi ya kampuni ni muhimu sana kama mnataka niwe mteja wenu
airtel ni wahindi, hawana utu wala heshima.... wadogo zetu kwa sasa wananyanyaswa sana tu
 
Wahindi wanadharau sana wafanyakazi waswahili.kwa sasa wanajitengenezea mazingira ya kuwa peke yao ofisi nzima
 
Hunduma ya rusha, tangu juzi ni balaa tupu ukituma vocha ya pesa kadhaa, pesa haifiki kwa muhusika lakini kwenye salio lako wanapunguza kiwango hicho hicho cha pesa. Airtel kwa sasa ni wizi mbele kwa mbele.
 
Wahindi wameishaingia humo unadhani kutakuwa na utendaji gani zaidi ya kunyanyasa wafanyakazi!
hawa wahindi matapelisana kila shirika au kampuni wanayoichukua nikuiba nakuondoka,alikuepo m-kuwait zain mambo yalikua poa,ila baniani anajua kuiba tu.
 
Manaonaje tukianzisha ban ya Airtel campagin nchi nzima kuhakikisha wana suffer customers? Najua wadogo zetu watapata shida kidogo ila wataji-udjust tu kuliko udhalilishaji huu tunaoushuhudia sioni sababu ya kukubali udhalimu huu
 
airtel ni commercial partner hapa JF .... kwani wana banner yao ya tangazo katika hii jf web page ..... natumaini hii thread inawatosha kuwashitua ili waweke mambo yao vizuri

muungwana hujirekebisha
 
Back
Top Bottom