Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Wakuu ningependa kufahamishwa kama Tanzania macdonald ipo na kama haipo kwa nini?

Haipo kwa sababu inakungoja wewe uje na franchise uanzishe..zipo Steers, Mary brown, Nandos,etc.
Unarudi lini kwani?
Wakuu ningependa kufahamishwa kama Tanzania macdonald ipo na kama haipo kwa nini?
Lakini si kuna uwezekano wa kuileta au hadi uongee na wanasiasa kwanza??nadhani utakuwa umenipata!!Yaani ulivyofika huko nje sasa unataka kila kitu huku nyumbani kiwe kama huko. Bongo hakuna cha McDonald wala KFC. Karibu sana!
nimekusoma !!ahahhahKuna Spur pia - franchise ya SA..usijali sana haya majina...utamu ni ule ule tu.
Wakuu ningependa kufahamishwa kama Tanzania macdonald ipo na kama haipo kwa nini?
Swali zuri lingekuwa wananchi vijijini wanapata milo mingapi kwa siku na milo hiyo inacomprise nini?
Why discuss macdonald, kfc, steers, mary brown wakati idadi kubwa ya watu wanaishi kwa asali na ubuyu ( wenye bahati ) miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru na kuahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.
mkuu mbona hata kwa jacob zuma macd zipo na huwez kuniambia kuwa watu wote huwa wanaenda. we hujui kuwa hii ni moja ya ajira pia?Swali zuri lingekuwa wananchi vijijini wanapata milo mingapi kwa siku na milo hiyo inacomprise nini?
Why discuss macdonald, kfc, steers, mary brown wakati idadi kubwa ya watu wanaishi kwa asali na ubuyu ( wenye bahati ) miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru na kuahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.
Big up mkuu!You are a thinker!Swali zuri lingekuwa wananchi vijijini wanapata milo mingapi kwa siku na milo hiyo inacomprise nini?
Why discuss macdonald, kfc, steers, mary brown wakati idadi kubwa ya watu wanaishi kwa asali na ubuyu ( wenye bahati ) miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru na kuahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.
Swali zuri lingekuwa wananchi vijijini wanapata milo mingapi kwa siku na milo hiyo inacomprise nini?
Why discuss macdonald, kfc, steers, mary brown wakati idadi kubwa ya watu wanaishi kwa asali na ubuyu ( wenye bahati ) miaka zaidi ya 40 baada ya uhuru na kuahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania.
mkuu mbona hata kwa jacob zuma macd zipo na huwez kuniambia kuwa watu wote huwa wanaenda. we hujui kuwa hii ni moja ya ajira pia?