Watengenezaji wa mafuta ya Korie ikiwa mnafanya haka kamchezo katawamaliza. Kwa mara ya 3 sasa nanunua haya mafuta na kukuta maji ndani. Kwa ufupi mimi mshanipoteza kama mteja wenu.
ARUSHA -Tanzania's old weak taxation laws in the mineral sector resulted into a loss of a total of $132.5m, according to a financial audit carried out recently.
The taxation laws are in the...
Wana JF, naomba tushirikiane kujibu swali hili, hasa tukizingatia hali ilivyokuwa kabla ya taasisi hii na hali ilivyo baada ya uwepo wake, tukizingatia ukweli na hali halisi. Tutumie mifano hai...
wakuu wa jf !
nataknijui kma bishara ya kutengeneza SABUNI , is it paying ?
Does any1 hv any idea about SOAP MAKING business ?
Nataka nifunguwe side business, so plz suggest!
Je kuna yeyote anayefahamu dealer wa pikipiki aina ya Sanlg ambaye ana hizo pikipiki kwenye website? Ningependa kuziangalia humo mtandaoni na kuona specifications tofauti. Natanguliza shukrani.
Milioni moja za Zimbwabe = Baiza mia za Oman
Inamaana ukiende hoteli ya hali ya juu inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti
Na kulipa kwa Visa Card hairuhusiwi kwa hiyo inabidi ubebe mfuko mkubwa wa...
top ten richest country
1. Qatar
Qatar is ranked first as the richest country in the world with a GDP per capita of U.S. $ 90,149 per year in 2010. Qatar is one of oil and gas rich country in...
Habari!
Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.
Kama kuna makampuni wana websites...
Jamani, nataka kuanzisha kajikampuni kadogo ka VIDEO PRODUCTION. Itakuwa inadeal na kushoot video katika functions mbalimbali na pia ku-design graphics (business cards, logos, flyers, brochure...
WORLD fourth richest person Mukesh Ambani through his conglomerate, Reliance Industries, intends to invest heavily in Tanzania's air transport and hospitality industries.
Mr Ambani revealed...
Habari zenu wana JF...sikupata forum nyingine yeyote zaidi ya hii kuwasilisha hoja yangu...
Nataka kujua kama yupo yeyote aliyewahi kununua online kupitia kwa "e-bay" na akaipata hapa TZ mzigo...
Kada maarufu wa CCM aliye wahi kuwa mbunge na waziri wa viwanda na biashara Mh Iddi Simba pamoja na kada ambae pia ni Mayor wa jiji la DsM Mh Didas Masaburi CcM wamejikuta wakianguka kwenye tope...
Wakuu heshima mbele! Naomba mwenye utaalamu wa formula inayotumika kutoa magari bandarini tafadhali anijuvye hapa jamvini maana naambiwa kwa sasa umebadilika sio kama ule tuliouzoea zamani...
Kulitakiwa kuwe na kitengo cha risk and compliance mgt ambacho ni fully fledged, ambacho ni independent. Kisiwe part ya internal audit.<br />
Leo hii wasingepewa adhabu ya miezi mitatu, kwa kuwa...
The Tanzania Tourist Board (TTB) carried out a survey at the end of last year aimed at establishing the perceived image of Tanzania. The two strongest images that came out portrayed Tanzania as a...
Wanajamii nimekuwapo Dodoma kwa siku mbili na ni eons niwasilishe tetesi hii ambayo haina ubishi tena. Leo jioni baada ya bajeti ya Ngereja kupita Waziri Mkuu aliandamana na Wabunge wetu kuelekea...
Kwa wajasiriamali wenzangu salaam!
Kama ilivyoada ya kupashana habari, nimeona niwajulishe kuhusu hili shirika la Tatedo kwenye nishati mbadala.
Wanatengeneza majiko nafuu ambayo ni msaada kwa...
Naomba anayefahamu bei za jumla na rejareja za bales za mitumba za grades tofauti (grades A, B, C) tafadhali anifahamishe. Kama kuna namna mbadala ya ku-calculate bei, mfano Tshs per kg, ningeomba...