National Housing Corporation (NHC) Kujenga Housing Complex ya Wabunge Chimwaga Dodoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

National Housing Corporation (NHC) Kujenga Housing Complex ya Wabunge Chimwaga Dodoma

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Baba Imani, Aug 13, 2011.

 1. Baba Imani

  Baba Imani Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Wanajamii nimekuwapo Dodoma kwa siku mbili na ni eons niwasilishe tetesi hii ambayo haina ubishi tena. Leo jioni baada ya bajeti ya Ngereja kupita Waziri Mkuu aliandamana na Wabunge wetu kuelekea eneo beyond Chimwaga (kwa wale ambao hawajawahi Kigoma hapa Dodoma, Chimwaga ndiko palipo Chuo Kikuu Cha Dodoma). Ninaposema beyond Chimwaga namaanisha um Ali upatao fifteen more or less kilometers from town centre. Huko walienda kukagua eneo patakapojengwa nyumba zao. Nyumba hizo zitakuwa tayari ifikapo December 2012. Tunao Wabunge 387.Kabla ya hapo walipitia eneo la Medeli kuona nyumba zilizokwisha kamilika na tayari kwa kuuzwa. Katika complex hiyo kutakuwa na kola huduma za jamii na hivyo hapatakuwa na haja ya wao kutegemea mambo yore ya muhimu kiuchumi wanayopata kwa sasa hapa mjini.Wanajamii wenzangu kimsimngi wazo hilo Mie silipingi isipokuwa nimeptwa na mshawasha kuwa kuna uwezekano mkubwa kitendo cha kuwaengua hawa wateja katika uchumi mkuu ama soko mchanganyiko la wanadodoma na kuwa-confine kwenye mikono ya kampuni chache say a supermarket chain, etc, kutasababisha matatizo katika socioeconomic setup and prosperity ya wanajamii wa hapa. Naomba Mwongozo wenu ndugu zangu katika mstakabali wa taifa letu.
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  Nimesikia leo spika akisema watakwenda huko kuangalia eneo zitakakojengwa nyumba za NHC kwa ajili ya wabunge!
   
 3. G

  Godwine JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  walijengewa kisasa wakakataa kukaa kwenye kota .....wakawagawia walimu wa chuo cha UDOM sasa wanaanza mpango huo tena
   
 4. Salanga

  Salanga JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 375
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Waache wajenge wakizikataa tena tutazinunua cc bado hatujajenga.
   
 5. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Ndo jambo la msingi.
   
 6. J

  Justine Kilasara Member

  #6
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kuhushu soko, kwani vitakavyouzwa huko supermarket zao vitatokana na wakulima wetu wa bongo, mfano mchele bora unatoka lumuma, kyela na bahi. Nyama itatokana na ng'ombe wetu sisi wagogo wa hapahapa, wao watatusaidia kufunga vizuri ili vinunulike na watu wa kada za juu, kwa hiyo linalotakiwa ni kuacha uvivu na kuongeza uzalishaji. Hongera serikali ya CCM kwa hili.
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Walikataa kwa kuwa zipo mbali na club 84, sasa hivi kabla ya kuhamia huko NHC wanaongea na Mbowe awajengee Bills yao huko huko.
   
 8. B

  Bunsen Burner Member

  #8
  Aug 14, 2011
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15

  Another selfishness!!!! wabunge walishajengewa wakakataa, sassa mnawajengea tena, badala ya kujenga nyumba kwa wafanyakazi na wananchi wa kipato cha chini na kuwapa long rerm kulipa kwa mkopo nafuu kama huku botswana wanavyofanya kwa kila mji, hivyo kuleta maendeleo kwa kila eneo!!! mie nachoka kaqbisa... aaaargh.. wabunge wenyewe na mawaziri huwa hawakai na hawataki kuishi Dodoma!! Waststage of tax payers resources badala ya kuwafikiria wananchi walio wengi!!!
   
 9. K

  Kidzude JF-Expert Member

  #9
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 2,748
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Ujamaa ushapitwa na wakati. Waacheni wajitenge kwani tunafaidika nini wao kuishi masaki na obay. Cha msingi tuwafanye wawajibike. NHC inaelekea kuwa bussiness oriented maskini hatoweza nunua nyumba. Cha msingi ni kupunguza tatizo la nyumba mijini na ili kodi zishuke.
   
 10. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #10
  Aug 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni wachache sana watakwenda kukaa huko. hawa watu hawapendi maisha ya kota na nyumba hizo zitakuwa kama kota. Ukitaka mfano angalia mawaziri wanavyozipiga chenga nyumba za Viktoria hapa dar, kikubwa wanachokisema ni kuwa hawawezi kuishi kwenye kota. Hao wakubwa wakitaka wawapate wabunge katika dili kama hilo wawaambie kuwa watawakiopesha fedha za ntyumba (kama ilivyofanyika kwa magari)
   
Loading...