Kulikuwa na haja kwa kampuni ya BP kuwa na kitengo cha Risk & Compliance Mgt | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kulikuwa na haja kwa kampuni ya BP kuwa na kitengo cha Risk & Compliance Mgt

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Aug 14, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kulitakiwa kuwe na kitengo cha risk and compliance mgt ambacho ni fully fledged, ambacho ni independent. Kisiwe part ya internal audit.<br />
  Leo hii wasingepewa adhabu ya miezi mitatu, kwa kuwa risk ile ya non-compliance ingekuwa handled professionally na EWURA huenda wangewajibishwa ipasavyo.<br />
  Hii ni funzo kwa baadhi ya kampuni kubwa zinazo operate nchini bila kuwa na kitengo cha risk and compliance ambacho ni independent.<br />
  Kampuni nyingi zime rely kwenye intrnal audit and legal unit na kuthani kila kitu kipo ok.
   
Loading...