Korie-haka kamchezo katawamaliza!

tindikalikali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,855
1,117
Watengenezaji wa mafuta ya Korie ikiwa mnafanya haka kamchezo katawamaliza. Kwa mara ya 3 sasa nanunua haya mafuta na kukuta maji ndani. Kwa ufupi mimi mshanipoteza kama mteja wenu.
 
Back
Top Bottom