Shirika la TATEDO ni Mkombozi mwingine Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shirika la TATEDO ni Mkombozi mwingine Tanzania

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Rich Dad, Aug 13, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa wajasiriamali wenzangu salaam!
  Kama ilivyoada ya kupashana habari, nimeona niwajulishe kuhusu hili shirika la Tatedo kwenye nishati mbadala.
  Wanatengeneza majiko nafuu ambayo ni msaada kwa sehemu za vijijini.
  Sifahamu kama wana teknolojia nyingine kama ilivyo SIDO. Nimeona kipindi chao kimerushwa na TBC1 leo jioni tarehe 13 August 2011.
   
Loading...