Magari ya Utalii kutoka Arusha-Ngorongoro Crater

BelindaJacob

Platinum Member
Nov 24, 2008
6,474
4,021
Habari!

Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.

Kama kuna makampuni wana websites naombeni mnisaidie. Safari hii inatarajiwa kuwa Mid-December, 2011.

Na je mwenye idea ya bei kwa trip ni bei gani?pia experience nzuri na kampuni aliyotumia anisaidie niwafuatilie.

Asante!!

BelindaJacob..!!!

Inategemea na preference zako

ili kupata ushauri mzuri, ni vema ukaweka wazi safari yako itakuwa ni ya siku ngapi, na itajumuisha watu wangapi? na utaenda Ngorongoro tu? au utapenda kupitia na Manyara na Tarangire.

Kampuni zipo nyingi tu na hata ukiangalia kwa website zao unaweza pata fully package naZephaniah Kambele

wasiliana na huyu bwana zephaniah.kambele@gmail.com ambaye ni moja wa wa miliki wake atakupa ushauri mzuri

Kila la kheri

Belinda baby......hii safari yako ni day trip au inahusu night kadhaa....?.......

My dear Petra, hii safari itakuwa ni ya siku 3..Sababu sina uzoefu kwenda ha hizi gari za kitalii, nilitaka kujua kama uki-book mapema ni cheaper kuliko dakika za mwisho..Yani maandalizi yawe yamekamilika! Thanks

Inategemea na preference zako

ili kupata ushauri mzuri, ni vema ukaweka wazi safari yako itakuwa ni ya siku ngapi, na itajumuisha watu wangapi? na utaenda Ngorongoro tu? au utapenda kupitia na Manyara na Tarangire.

Kampuni zipo nyingi tu na hata ukiangalia kwa website zao unaweza pata fully package naZephaniah Kambele

hii kampuni binafsi nshaitumia mara mbili Tanzania Safari | African Safaris | Real Adventure Safaris | Real Adventure Co.
wasiliana na huyu bwana zephaniah.kambele@gmail.com ambaye ni moja wa wa miliki wake atakupa ushauri mzuri

Kila la kheri

Mkuu PS, thanks for your insight!

Nitafuatilia hizo kampuni tena kuwasiliana na na hiyo uliyo-recommend! Nitampa hizo info zote kuhusu idadi ya watu, siku ngapi na pia kama napitia mbuga zingine za karibu au maeneo ya utalii..

Wasiliana na Bestday Safaris Ltd, wana service nzuri, pia bei zao zipo vizuri.

Ukiwasiliana nao watakupa details zote zinazohitajika.

Emails: bsafaris@gmail.com or info@bestdaysafaris.com
Website: Bestday Safaris

Mwanao thanks for info..Nitawasiliana nao!

My dear Petra, hii safari itakuwa ni ya siku 3..Sababu sina uzoefu kwenda ha hizi gari za kitalii, nilitaka kujua kama uki-book mapema ni cheaper kuliko dakika za mwisho..Yani maandalizi yawe yamekamilika! Thanks

kuhusu price inategemea unaenda na nani.....kuna wa bei rahisi na wa ghali...itabidi uwahi kubook.....kwa sababu kipindi hicho kidogo kunakuwa busy shauri ya X-mas......na pia swala zima la accomodation.......kama unafikiria kucamp Ngorongoro.....sikushauri

Habari!

Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.

Kama kuna makampuni wana websites naombeni mnisaidie. Safari hii inatarajiwa kuwa Mid-December, 2011.

Na je mwenye idea ya bei kwa trip ni bei gani?pia experience nzuri na kampuni aliyotumia anisaidie niwafuatilie.

Asante!!

BelindaJacob..!!!

Nicheck kwa pm nina 109

Nimechelewa lakini pata hiyo contact pia ikusaide:-
HIDDEN VALLEY SAFARIES LTD.
Manase Mbise. CEO &Managing Director. AICC Complex. Kilimanjaro Wing, Fourth Floor, Room No: 423.
P. O. Box,11355. ARUSHA. TANZANIA.
Tel: +255-732 978 198/ +255 713 511 357/ +255 784 712 630.
Email: hiddenvalley@habari.co.tz / info@hiddenvalleysafaris.com. Ubarikiwe!!!!!!

Nduka, thanks mkuu!..Nitafuatilia hiyo kampuni pia!

Mamii, asante sana ka info zaidi..Nitawahi kubook mana bei siku za x-mas zitakuwa hazikamatiki!..halafu hilo suala la accomodation, kwanini nisi-camp Ngorongoro? una experience mbaya nini?camp nzuri itakuwa wapi? julisha me pls..thanks again!

hakuna ubaya kucamp....wasiwasi wangu ni hali ya hewa......lakini inawezekana....more info.....check PM

Habari!
Mwanangu ni PM

Naomba kuulizia nitapata vipi mawasiliano na watu wa magari ya utalii(kwenda mbugani). Safari nataka kutokea Arusha mjini kwenda Ngorongoro Crater.

Kama kuna makampuni wana websites naombeni mnisaidie. Safari hii inatarajiwa kuwa Mid-December, 2011.

Na je mwenye idea ya bei kwa trip ni bei gani?pia experience nzuri na kampuni aliyotumia anisaidie niwafuatilie.

Asante!!

BelindaJacob..!!!

Mwanangu ni PM

Nimechelewa lakini pata hiyo contact pia ikusaide:-
HIDDEN VALLEY SAFARIES LTD.
Manase Mbise. CEO &Managing Director. AICC Complex. Kilimanjaro Wing, Fourth Floor, Room No: 423.
P. O. Box,11355. ARUSHA. TANZANIA.
Tel: +255-732 978 198/ +255 713 511 357/ +255 784 712 630.
Email: hiddenvalley@habari.co.tz / info@hiddenvalleysafaris.com. Ubarikiwe!!!!!!

Mtumishi wetu ubarikiwe sana, asante na nitafanya mawasiliano nao.

hakuna ubaya kucamp....wasiwasi wangu ni hali ya hewa......lakini inawezekana....more info.....check PM

My dear nimekusoma na kufuatilia PM..shukrani tele na TGIF!!!

Mwanangu ni PM

Thanks dad, nimekuPM!..

Kama wewe ni mzawa kupata cheap price ni vema ukapata magari ya watu binafsi japo yana link na makampuni ya utalii, huwa inapunguza gharama kwa kiasi kikubwa

Fredmlay, thanks a lot mkuu..mimi ni mzawa!!nimefuatilia contacts zote nilizopewa!

Wakuu wote, asanteni kwa contacts mlizonipa..zimenisaidia sana kuanza kuipanga safari yangu!! Mbarikiwe sana!!

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom