Biashara, Uchumi na Ujasiriamali
Special forum for those interested in Business and Economics discussions
On JF:
Asalaam wana jamii. milikua na uliza recycling comapanys zipo Tanzania? na kama zipo ziko wapi. na vipi kuwa contact. asanteni kwa wale watakao ni saidia kwenye hili
0 Reactions
6 Replies
4K Views
wakuu nasikia ukinunua gari unguja kujanalo tanganyika ya zamani kuna kodi ambazo hupaswa kulipia, ambazo ni tofauti ya tozo za kodi kati ya unguja na ex-tanganyika.
Kwakuwa sheria...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nachukua nafasi hii kuitambulisha kwenu tovuti mpya ya mavazi www.jsonstyle.com Tovuti hii inakupa fursa wewe mwenye duka popote ulipo kuweka bidhaa kwenye tovuti hii na kuwapa fursa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza lap top yangu, ili ninunue nyingine more advance, kama unahitaji wasiliana nami ...takuachia kwa bei ya undugu wa kuwa wote hapa JF...haina tatizo lolote, uliza bei kwakunitumia Msg, betri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mambozz wakuu ! Am looking for someone who has experience in manufacturing of SOAPS. Even if still working somewhere, get in touch with me via PM plz !
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Bado ni mwajiriwa, lakini ana milioni 70 anataka kuziwekeza. Biashara nzuri aliyoiona inalipa ni kuiwekeza kwenye Ubunge kwa tikti ya CCM mwaka 2015. Unaweza kumshauri kivingine?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Awali ya yote nawasalimu kwa jina la bwana! Tafadhali naomba mawazo na uzoefu wenu katika biashara, ni ipi ya kufanya. Nina mtaji wa 4M tu nataka nifanye biashara nami nijikwamue kwenye...
1 Reactions
22 Replies
9K Views
Leo ndugu wanajamvi nimeonelea niwaletee maelezo kidogo kuhusu pesa tunazochangia kununua umeme, na hasa kwa wale tunaoishi katika nyumba za kupanga. Labda nianze na umeme tunaonunua toka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI WANA GREAT THINKERS, HEBU TUCHAMBUE FAIDA NA HASARA ZA BIASHARA YA BAJAJ NA BODA BODA A:FAIDA I-MADEREVA WAMEPATA KAZI NA AMBAO HAWAKUWA MADEREVA WAMEJIFUNZA II-VYUO VYA MADEREVA VIMEPATA...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Wengi wanao-advocate price control wanasema kwamba hii ni njia ya kuwa-protect watu wengi na wafanyabiashara ambao watapanga bei kubwa ili kupata faida kubwa ; Lakini Je hii ilishasaidia sehemu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu wana JF nimekuwa na maono ya kuanzisha kampuni ya uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa zao la zabibi kwa mda mrefu ila sijui hatua za namna ya kuanzisha kampuni. Nipenda kampuni ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Emancipate yourselves from mental slavery; None but ourselves can free our minds
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa habari zaidi bonyeza hapa chini. MZEE RUKSA AFUNGUA AKAUNTI YA KIISLAMU NBC - Global Publishers
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu natanguliza heshima kwenu na poleni na shughuli za kila siku ndukuzangu nahitaji bwana shamba atakae simamia shamba langu kila inapohitajika kufika inategea na makubaliano nategemea kulima...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mambo vipi wadau???? Kana shamba zuri sana naliuza wakuu maeneo ya kibada-dar-es-salaam linafaa kwa mengi kama shule n.k.bei tsh 70 milioni. Naomba kwa wadau wenye uwezo au wanaweza nipatia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hello wananijamii habari zenu,okay miminimjasiliamali mdogo(nimejiajri)sasa nilikuwa naomba advice ama mawazo ni kwamba ninao mradi ama biashara ya kutengeneza viatu vya kisasa kabisa vya kiume...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Naomba msaada wa bei ya gold per carat kwa masonara na madealer. Asante Wakuu!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
HE fall in production for many a corporate institution in both industry, agriculture and other major sectors of the economy in Tanzania as caused by an assortment of problems is already...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Nadani huu ndio muda muafaka wa watanzania kufanya mgomo wa amani lakini effective na ni kama ifuatavyo. 1. Sisi wenye magari tupaki magari yetu kesho asubuhi kufunga njia zote za kuingia na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom