Bei za bales za mitumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei za bales za mitumba

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Ndjabu Da Dude, Aug 13, 2011.

 1. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,648
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Naomba anayefahamu bei za jumla na rejareja za bales za mitumba za grades tofauti (grades A, B, C) tafadhali anifahamishe. Kama kuna namna mbadala ya ku-calculate bei, mfano Tshs per kg, ningeomba kufahamu pia. Ushuru wake unakuwaje mzigo ufikapo bandarini?
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Angalia wahindi wasikuchakachue, watakuambia ni grade A lakini kumbe ni kanyaboi(grade D).
   
Loading...