Kame isingekuwepo ewura, hali ya umeme na mafuta ingekuwaje sasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kame isingekuwepo ewura, hali ya umeme na mafuta ingekuwaje sasa?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbalamwezi, Aug 16, 2011.

 1. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Wana JF, naomba tushirikiane kujibu swali hili, hasa tukizingatia hali ilivyokuwa kabla ya taasisi hii na hali ilivyo baada ya uwepo wake, tukizingatia ukweli na hali halisi. Tutumie mifano hai bila ushabiki wa kisiasa au wa namna yoyote, na ni vema pia kama tutatumia takwimu. Badala ya kupotezeana muda kutoa kauli za kubeza, tutumie muda huo kuonyesha ukweli na kukosoa kwa ushahidi.

  Mods naomba mu edit hapo kwenye topic isomeke "Kama" na si "Kame"
   
 2. W

  WATANABE JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 1,091
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  Kama Ewura isingekuwepo bei za bidha hizo ingekuwa chin kwani kazi yao kila kukicha nni kuitisha vikao vya kupandisha bei za bidhaa hizo. Dawa pekke ya tatizo hili ni kukaribishwa kwa makamuoni makubwa ya mafuta yeney mitaji mikubwa na kuzalisha umeme aje kuwekeza hapa nchini ndipo tutashuhudia ushindani kama ukle uliopo katika simu za mikononi.i
   
 3. M

  Mbalamwezi JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Sep 30, 2007
  Messages: 803
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  na hapa je?

  "Tanzania’s shilling headed for the weakest close in 17 years against the dollar as oil companies sought to buy the U.S. currency to pay for imports.


  The currency of East Africa’s second-biggest economy currency depreciated as much as 0.8 percent to 1630.5 per dollar. A close at this level would be the weakest since 1994. It traded 0.3 percent down at 1,622.73 at 2:21 p.m. in Dar es Salaam, the commercial capital.

  “There is a lot of demand that has come in from the oil sector since morning,” Eric Chijoriga, a trader with Absa Group Ltd.’s Tanzanian unit, said by phone."

  Source: Bloomberg
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ewura+sumatra=kima cha walala hoi na neema kwa matajiri.
  jibu zaidi ya hilo umefeli.
   
Loading...