Pesa ya Zimbabwe hali ni hii Je? Pesa ya Tanzania itakuwaje baada ya miaka 5 ijayo??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pesa ya Zimbabwe hali ni hii Je? Pesa ya Tanzania itakuwaje baada ya miaka 5 ijayo???

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MziziMkavu, Aug 16, 2011.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,612
  Trophy Points: 280
  Milioni moja za Zimbwabe = Baiza mia za Oman

  Inamaana ukiende hoteli ya hali ya juu inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti

  [​IMG]
  Na kulipa kwa Visa Card hairuhusiwi kwa hiyo inabidi ubebe mfuko mkubwa wa noti

  Kila mtu ana ma-bilioni lakini ni masikini

  Noti moja tu ya Milioni Mia Tano

  [​IMG]


  Mfuko wa chakula cha kukauka kwa 50 milioni

  [​IMG]

  Khas 5, kwa milioni moja


  [​IMG]


  [​IMG]

  Kuku Milioni 10
  [​IMG]

  Bili ya Dinner (Malipo ya Chakula cha usiku tu)
  [​IMG]

  Dola Moja sawa na Noti zote hizi

  [​IMG]

  __________________Kuku Mmoja bei gani hapo bongo?
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Bora wenzutu wanaweza wakawa na sababu je sisi tutajitetea na lipi?
   
 3. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Tuna weza kujitetea....We have no credible, responsible leadership
   
Loading...