Fri Feb 17, 2012 7:08am GMT
OSLO Feb 17 (Reuters) - Norwegian oil and gas firm Statoil has encountered indications of natural gas in a "good quality reservoir" in the Zafarani-1 well in Block 2...
wakuu habari yenu..
Nina swali nauliza na ninafanyia research...
Ni biashara gani ina soko na bado haijapamba moto tanzania afrika..?? Kwamba ni biashara ipi either products na services...
A tumultuous 12 months that saw revolutions in the Middle East, a worsening debt crisis in Europe and a tsunami in Japan has set the tone for corporate activity in 2012.
Caution, flexibility...
Wana Jamii, naomba mwenye contact za dealer wa Hyundai hapa TZ; vile vile contact za dealer ambao wanaweza kuwa na Truck with Crane (10tn) na Backho (0.2 m3) - brand new not used. Natanguliza...
Press Release
Page 1 of 1
27 February 2012
DISCOVERY EXTENDS THE RUVUMA BASIN GAS FAIRWAY ONSHORE
Aminex PLC (Aminex or the Company), an independent oil company listed on the main market...
Wakuu, nani anafaidi haya mambo ya fairtrade?
Baada ya kusoma hii article na kusikiliza podcast nimeona kama once again ni wale wale. The rich are getting richer, na wale poorest of the poor...
Nina kawaida ya kuangalia exchange rates kabika Bank mbalimbali, leo nimejaribu kuingia http://www.crdbbank.com/ Ninaambiwa Domain ime - expire: kutokana na ujumbe huu
'This domain name expired...
The 20 Most Powerful People In African Business
gomoguruWell tried, but you left out two of africas most important:Mfonobong Nsehe, Contributorgomoguru, Johann Rupert and Mike Adenuga are...
wanabodi nawasalimu
napenda kujua gharama za usafirishaji wa nafaka kwa tanzania ukoje
mfano kutoa mchele ifakara morogoro kuleta dar
mahindi kutoa songea na Sumbawanga hadi dar. nk nk
mzigo ni...
Hello JF,
Nina miti yangu ya mwarobaini. Nafkiria kuikata niiuze kwa kweli imekomaa sana na inaweza tumiwa kwa ajili ya mbao au mkaa. Nilikuwa naomba wadau mnisadie kukadaria thamani yake each in...
DAR ES SALAAM, Februari 22, 2012 – "Tanzania inaweza kuitimiza ndoto yake ya kutamani kukua haraka kupitia kutumia hazina iliyonayo Serikali, kufanya marekebisho yanayotarajiwa kwenye sekta...
Mtanzania aacha kukalia uchumi
Andrew Mbogoma Ngiri, mtanzania mwenye wake watatu na watoto 34 ameamua kuacha kuukalia uchumi na kuutumia pale alipouza ng'ombe wake 250 na kujipatia mamilioni...
Keneth Goliama
OFISI ya takwimu nchini imesema bei ya vyakula vingi imepanda kwa asilimia 26.2 ukilinganisha na mwaka jana ambapo ilikuwa ni asilimia 25.6 kipindi kama hiki.Taarifa hiyo...
Wakuu, mna habari kwamba mafisadi wameficha fedha kwenye m-pesa za watz wote? Sema tu wamezipiga pini hazichukuliki wala kuhamishika. Ni substancial amount, laki 8, 7, sita n.k. mpaka bank...
Japan imekubali kutoa Sh. milioni 640 kwa Shirika la Elimu, Sayansi la Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO), Tanzania kutekeleza mradi wa kuwasaidia wasichana waliolazimika kuacha shule kutokana...
Naomba kuuliza tozo au kwa jina maarufu ''port charges'' wanazo toza TPA kwa mizigo ambayo haiko kwenye kontena wanatumia mfumo gani.
Kuna mtu atanitumia parts za gari kwenye box la ujazo wa...
The total value of net credit to the private sector in the country has increased from 1.4trn/- in 2005 to 5.2trn/- in 2010, a new World Bank report released mid this week has said.
According to...
CHINESE oil giant CNOOC is negotiating with Uganda to invest in the African country's first oil refinery, state media said Thursday, as Beijing ramps up investment in the resource-rich...