Statoil: Tanzania find has up to 5 trillion cubic feet of gas

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Fri Feb 17, 2012 7:08am GMT

OSLO Feb 17 (Reuters) - Norwegian oil and gas firm Statoil has encountered indications of natural gas in a "good quality reservoir" in the Zafarani-1 well in Block 2 offshore Tanzania, it said on Friday.

The firm added that it was too early to give any indication on the size and commerciality of the find.

Statoil holds 65 percent of the bloc while ExxonMobil has the remaining 35 percent.

For our beloved Tanzanian's overseas please don't be in a hurry to change your Citizenship

Tanganyika even with damn corrupt leaders is going to change to the better with this world Economy them Corrupt leaders

Will be starting pack and go to Malaysia and bombing theme legs... leaving us alone...
 
Goodnews. Natumani hawa Wanorwegian si wezi kama hawa WaCanada wanaotuibia madini yetu na kutuachia mashimo.
 
Hamna cha good news wala nini, its a bad news kwa sababu haitatusaidia chochote watanzania wa kawaida zaidi ya kuwapa CCM pesa za kuibia kura wakati wa uchaguzi na mafisadi pesa za kupeleka AC za nje pole "Tanganyka yangu"
 
For our beloved Tanzanian's overseas please don't be in a hurry to change your Citizenship

Tanganyika even with damn corrupt leaders is going to change to the better with this world Economy them Corrupt leaders

Will be starting pack and go to Malaysia and bombing theme legs... leaving us alone...

Goddamn corrupt leaders...Na washindwe kwa jina la Bwana aliye mbinguni..:A S-omg:
 
Fri Feb 17, 2012 7:08am GMT

OSLO Feb 17 (Reuters) - Norwegian oil and gas firm Statoil has encountered indications of natural gas in a "good quality reservoir" in the Zafarani-1 well in Block 2 offshore Tanzania, it said on Friday.

The firm added that it was too early to give any indication on the size and commerciality of the find.

Statoil holds 65 percent of the bloc while ExxonMobil has the remaining 35 percent.

Nothing to celebrate, tangu lini natural resources zikatunufaisha. wala hatuna la kushangilia. Ujinga tu!!!
 
Published February 17, 2012
Dow Jones Newswires

Norwegian oil company Statoil ASA ([FONT=inherit !important]STOhttp://www.foxbusiness.com/news/201...il-encounter-hydrocarbons-offshore-tanzania/#) and partner ExxonMobil Corp.

(XOM) Friday confirmed that the Zafarani-1 well in Block 2 offshore Tanzania has encountered indications of natural gas in a good quality reservoir.

MAIN FACTS:
-Drilling operations are still ongoing and it is too early to give any indication of size and commerciality.

-The well was spudded in early January 2012 and drilling operations are expected to take up to a total of 3 months to complete.

-The well is being drilled by the drill ship Ocean Rig Poseidon and is located some 80 kilometres off mainland Tanzania.

-Statoil operates the licence on Block 2 on behalf of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and has a 65% working interest with ExxonMobil [FONT=inherit !important]Explorationhttp://www.foxbusiness.com/news/201...il-encounter-hydrocarbons-offshore-tanzania/# and Production Tanzania Ltd. holding the remaining 35%.
[/FONT]

-The final assessment of what has been encountered will be released at a later stage once drilling operations have been completed and the well results fully analysed.

Copyright © 2012 Dow Jones Newswires

[/FONT]

Read more: Statoil, ExxonMobil Encounter Hydrocarbons Offshore Tanzania | Fox Business
 
OK - Hydrocarbons found in Zafarani in Tanzania so OIL is here...
 
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.
 
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.
Mwacheni a-copy-paste,huyu ni muungwana hapendi kutia chumvi ,kuchakachua wala kuulizwa source? mnataka nini tena?
 
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.

Ninaishi Nje ya Nchi na Napenda Maendeleo ya Nchi yangu na kila nikisoma na nikipata topic kuhusu Nchi yangu napenda kuwashirikisha wana JAMII FORUM; sitaweka habari za Majungu, za Uongo au za kifitina kuondoa Umaarufu wa JAMII FORUM

Mimi sio Mwandishi wa Habari, Sina Undugu na Fisadi au Kiongozi yoyote wa Serikali napenda kuchangia - because JAMII FORUM IS HERE FOR FREE AND INDEPENDENT PEOPLE...
 
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.

Akileta hoja zake mwenyewe mtadai alete source yake, na sasa anakuja na source mnamgeuzia kibao copy and pate, mkizazi gani ninyi? Hamueleweke kabisa! Watanzania n'ta maana!
 
Ninaishi Nje ya Nchi na Napenda Maendeleo ya Nchi yangu na kila nikisoma na nikipata topic kuhusu Nchi yangu napenda kuwashirikisha wana JAMII FORUM; sitaweka habari za Majungu, za Uongo au za kifitina kuondoa Umaarufu wa JAMII FORUM

Mimi sio Mwandishi wa Habari, Sina Undugu na Fisadi au Kiongozi yoyote wa Serikali napenda kuchangia - because JAMII FORUM IS HERE FOR FREE AND INDEPENDENT PEOPLE...

Bongo wana nafasi ya kusoma na kupekenyua kupata yote hayo? Wachache sana ambao wanajaribu kufanya hivyo hasa walio kwenye vyombo vya habari, na wale interested utakuta wanachangia kwa ku-drop maneno matatu tu. Ninyi mlio nje ndio mnaojaza zaidi mada hapa Jamii forums. Si umeona wengi ukiwawekea hapa mada ya paragraph mbili au tatu wanalalamika kuwa ndefu mno, wavivu kusoma paragraph mbili, fikiria wana nafasi ya ku-browse kupata habari?
 
Huyo jamaa kazidi na gazeti lake la the Citizenj

Wabongo wengi wanayakimbia magazeti ya kimombo, na ukiweka mada ya kijmombo utakuta wachangiaji wachache sana. Bora anajitahidi kuchimba huko kupata habari na kutuletea, mazuri mengi yanatupita huko, na ameniamsha na mimi nitakuwa alert kupitia huko pia.
 
Jamani pengine mimi ndio sielewi lakini naona kama tunachangnywa akili hapa..Ebu tazama taarifa hizi mbili kama zinafanana..

1. Statoil operates the licence on Block 2 on behalf of Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) and has a 65% working interest with ExxonMobil [FONT=inherit !important]Exploration[/FONT] and Production Tanzania Ltd. holding the remaining 35%.

2. Statoil signed a production sharing agreement with the Tanzanian Petroleum Development Cooperation (TPDC) on 18 April, 2007 (Effective date is 15 June, 2007). Statoil Tanzania AS is the operator with 65 % interest with ExxonMobil Exploration and Production Limited as partner with a 35% interest - Bofya

Hii ina maana StatOil na ExxonMobil wanachukua 65% ya kitu kizima, na kati yao StatOil ina share 65 na ExxonMobile 35.. Na sisi katika Production Ltd, Statoil ina share tena nyingine ya 35% ya ile share yetu ya 35 tulogawana mwanzo toka kitu kizima.
 
We jamaa na habari zako za kiingereza tu halafu zote huwa unacopy kwenye magazeti. Si uwe unakuja na hoja zako mwenyewe kama unaweza.

Bibie, hizo si habari zake, ndo maana zina source. Tena angeleta za kwake tungeuliza source!
 
Back
Top Bottom