biashara gani bado haijapamba moto TANZANIA nA Africa??

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
wakuu habari yenu..
Nina swali nauliza na ninafanyia research...
Ni biashara gani ina soko na bado haijapamba moto tanzania afrika..?? Kwamba ni biashara ipi either products na services makampuni yanayo serve yako europe na marekani kiasi kwamba ukianzisha kampuni yako hapa nchini na kusin mwa jangwa la sahara ni bonge la deal??
 
...what matters ni kua mbunifu tu.....also note that alichofanya jirani yako akafanikiwa usifkiri itakua tha same story with you...njia za mafanikio ziko nyingi tu just be creative !!!
 
Back
Top Bottom