biashara gani naweza kufanya

jane_000

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
547
43
wadau nipo na million 30 nifanye biashara gani before sijazilia bata hizi hela naomba ushauri wenu wa kuu
 
wadau nipo na million 30 nifanye biashara gani before sijazilia bata hizi hela naomba ushauri wenu wa kuu

Pitia nyuzi za nyuma huko zenye swali kama lako,unaweza kupata idea ya nini cha kufanya.
 
Mkuu hilo swali lako lina fanana na mengine mengi kama hili so kama ulivyo ambiwa pitia thread zote utakutana na ushauri, na nyingine itakuwa hapa hapa haijaenda mbali
 
Back
Top Bottom