Coin ya Tsh 500 inakuja? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Coin ya Tsh 500 inakuja?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Saint Ivuga, Feb 27, 2012.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,789
  Trophy Points: 280
  kwa habari nilizozipata ni kuwa serikali ina mpango wa kutengeneza koini ya jero!! ni vipi imakaaje hii?
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Bora ije.....zile noti hovyo kabisa
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  serikali imeingia hasara kubwa kutengeneza hizo noti, ghafla wanaingia gharama nyingine za kuteneneza hizo coin. Anyway bongo hii ni zaidi ya tuijuavyo. Yaani ni ajabu, unaenda benki unakutana na noti mpyaaaaaaaaa ya zamani.
   
 4. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #4
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  madai ya gavana ni eti hizo za 500 mzunguko wake ni mkubwa sana ndo maana zimechakaa haraka
   
 5. d

  dav22 JF-Expert Member

  #5
  Feb 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  itakuwa mzuka tuu tutaungana na nchi kama Uganda ambao tayari wanayo coin...lakini cjui itakuwa na madhara gani katika uchumi wetu wataalamu naomba mtujuze
   
Loading...