Wauzaji wa Magari

Mgombezi

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
610
178
Wana Jamii, naomba mwenye contact za dealer wa Hyundai hapa TZ; vile vile contact za dealer ambao wanaweza kuwa na Truck with Crane (10tn) na Backho (0.2 m3) - brand new not used. Natanguliza shukrani kwa msaada wako.
 
ungesechi online labda ungepata hii pia

Hyundai East Africa Ltd.
AddressPlot 61/62 Nyerere Road, P.O.Box 19129, Dar Es Salaam, Tanzania, East-AfricaPhone+255-22-2862097Fax+255-22-2865685E-mail

mambo mengine yapo online esp ukiwa na internet access ina save time.
 
Mkuu hizo namba hazipatikani, usitegemee kupata taarifa sahihi kutoka kwenye website ya makampuni ya bongo kwani hawana utamaduni wa ku-update information zao.
 
Back
Top Bottom