Gharama za usafirishaji wa nafaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za usafirishaji wa nafaka

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by jino kwa jino, Feb 27, 2012.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  wanabodi nawasalimu

  napenda kujua gharama za usafirishaji wa nafaka kwa tanzania ukoje
  mfano kutoa mchele ifakara morogoro kuleta dar
  mahindi kutoa songea na Sumbawanga hadi dar. nk nk

  mzigo ni gunia 50 au 100 nakodisha gari zima au unalipishwa kwa gunia na wanachaji kwa km au ikoje na bei zao zikoje kwa mwenye uzoefu

  shukrani wapendwa
   
Loading...