Ndugu wana JF,
Natumaini kila mtu anajua uchumi wa Marekani na wa dunia umekumbwa na Misukosuko.
Mataifa makubwa yamepata madhara makubwa ikuwepo viwanda kufungwa kutokana na kukosa wateja...
Bandugu kuuliza si ujinga. Nimekuwa nikisikia/kusoma maneno haya (Economic Recession, Depression, Bail out) hasa siku hizi ambapo uchumi wa dunia unayumba. Je nini hasa maana ya maneno haya kwenye...
Kuna tetesi kuwa Mh. Mbunge wa Musoma vijijini, Nimrod Mkono alimchangia Obama kwenye kampeni yake USD 1Million, Obama akauliza huyu Mkono ni nani ningependa nimwone? Mkono akakaribishwa Marekani...
MKURUGENZI wa Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC), Emmanuel ole Naiko, amesema neno ufisadi linawatisha wawekezaji, hivyo kuwataka wananchi kulitumia kwa umakini huku wakiweka uzalendo mbele...
Naam kama ugonjwa unaambukiza basi huu wa ATC (Any time cancellation) umeashaanza kuambukiza. Sikuamini masikio yangu pale JRO niliposikia kuwa ndege ya KLM nayo imepata mafua ya ATC. Badala ya...
Nikiwa mteja wa hii benki napenda kutoa masikitiko yangu kwa tawi lenu lilopo maeneo ya mikocheni.
Kwa kipindi cha mara nne ndani ya mwezi 1 nimekwama kutoa pesa kwani huwa nakumbana na ujumbe...
Dar external trade deficit up by 66pc
By JOSEPH MWAMUNYANGE
THE EAST AFRICAN
Posted Friday, January 23 2009 at 22:35
Tanzanias external trade deficit for the year ending October...
A jump in food prices in Tanzania pushed the east African country's inflation rate to 13.5 percent in December, although a global fall in oil prices helped lower energy costs, official data showed...
Shukrani za dhati kwa TPN -hasahasa Mwenyekiti wake mzalendo Mtsimbe- kwa kujitahidi kubuni njia mbalimbali za kuwezeshana katika uwekezaji. Leo naomba niirudishe tena TPN hapa JF huku nikiwa na...
FOUR TANZANIA LUXURY PROPERTIES IN THE "100 BEST IN THE WORD" CONDE NAST TRAVELER READERS CHOICE AWARDS
Four deluxe Tanzania properties were featured in the leading travel magazine in the US...
Wanabaraza,
Tumekuwa tukichangia kuhusiana na vita dhidi tya Rushwa Tanzania. Kuna mtu anaweza kunifaamisha gharama ya rushwa Tanzania kwa Mwaka?
Mwenye data naomba kufahamishwa. Nimejaribu...
Nimepita madukani sasa hivi kununua sabuni ya unga ya kufulia. Baada ya soko huria viwanda vingi vya sabauni vilianzishwa baadhi ni Foma (Tanga), Tesa (IPP/Mengi), na Murzah.
Hivi karibuni...
Heritage Oil announced details of a large oil discovery in Uganda yesterday, which the company claimed could be the largest onshore discovery in sub-Saharan Africa.
Heritage said that its...
Ndugu Zangu, nimeipata hii makala kule kwa michuzi, lakini kwa bahati mbaya wanamtandao wanamjadili mtoa mada badala ya mada yenyewe. Je tunaweza kuijadili hii bila kumjadili mtoa mada?
CAN...
Hello folks, I found this and thought could be informative. Pls download the attachments.
Singapore
New Zealand
United States
Hong Kong, China
Denmark
United Kingdom
Ireland
Canada
Australia...
RBZ unveils $100 trillion note
Imerippotiwa na gazeti la serikali - Unaweza soma hapa
Herald Reporter
THE Reserve Bank of Zimbabwe has introduced a new family of trillion-dollar banknotes...
Kama kuna mtu ana uzoefu hivi mwaka ambao gari linatozwa charge ya uchakavu ni chini ya mwaka 1999 au 2000? Mfano nikiagiza gari ya mwaka 1999 nitatozwa kodi ya uchakavu na TRA?
By: Liezel Hill
Published on 16th January 2009
The world's biggest gold-miner, Toronto-based Barrick Gold, is looking at a range of acquisition opportunities, said president and CEO Aaron...
Ndugu zangu naomba kuuliza kuhusu noti za dola ya marekani za miaka chini ya 2000;
1)Serikali/BOT wamewahi kutoa tamko lolote kuhusu matumizi ya noti za dola ya marekani zenye miaka chini ya...
2009-01-15 02:01:00
Bunge team warns Govt over Ticts
By Mwanamkasi Jumbe
THE CITIZEN
Members of the Parliamentary Committee on Infrastructure Development, yesterday threatened to take...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.