Kaugonjwa ka ATC kanaambukiza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaugonjwa ka ATC kanaambukiza?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Eeka Mangi, Jan 27, 2009.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naam kama ugonjwa unaambukiza basi huu wa ATC (Any time cancellation) umeashaanza kuambukiza. Sikuamini masikio yangu pale JRO niliposikia kuwa ndege ya KLM nayo imepata mafua ya ATC. Badala ya kuondoka jana saa tatu usiku ndege imeondoka leo asubuhi 12 na nusu. Je ni ugonjwa huu huu unaommaliza ATC? Labda
   
Loading...