Depression-Recession-Bail out | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Depression-Recession-Bail out

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Jafar, Jan 29, 2009.

 1. J

  Jafar JF-Expert Member

  #1
  Jan 29, 2009
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bandugu kuuliza si ujinga. Nimekuwa nikisikia/kusoma maneno haya (Economic Recession, Depression, Bail out) hasa siku hizi ambapo uchumi wa dunia unayumba. Je nini hasa maana ya maneno haya kwenye uchumi wa nchi? Kama bail-out ni kutoa mapesa kwa makampuni ya uzalishaji ili kujikwamua kama wanavyofanya USA, je Tanzania iko imejiandaaje kwa hili?
   
 2. U

  Utatu JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2009
  Joined: Dec 31, 2008
  Messages: 436
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 60
  Economic Recession; Ni pale shughuli za kiuchumi zinapopungua kupita kiasi. Haswa pale ambapo uchumi badala ya kukua, au kudumaa unapungua kabisa. Nadhani, huwa unapimwa kwa kipindi cha miezi sita (miezi mitatu (Quarterly) miwili).

  Depression, ni pale Hali hiyo ya recession inapokuwa imekithiri.

  Bail-out: kama ulivyosema.

  Kwa upande wa Tanzania kwa kweli ni wabahatishaji tu. Hatujui nini kinachoendelea ama cha kufanya.
   
Loading...