Niko Songea, nina 2.5m mkononi. Nifanye biashara gani ili nami baadaye niwe kama akina fulani? Wazo lako litanifanya nipate kisima cha pesa, nibaki nikichota tu. Tafadhali nishaurini wakuu.
Salaams Wanabodi!
Wakuu napendekeza tuwe tunapata business and economic news kila siku hapa hapa kwenye business forum yetu kama kanewsletter fulani kwa topic mbali mbali za kibiz na economics...
HABARI WAKUU,
Nimepata sehemu ambayo naweza kupata maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji ila mkoani.wadau challenge niliyo nayo kwa sasa ni jinsi ya kusafirisha yafike kwa customer yakiwa fresh na...
wakuu naomba mnijulishe ni vitu gani vinahitajika mfano labda nafanya booking ya flight from Dar to Paris via amsterdam,au nataka kufika paris lakini lazima nipitie amsterdam,wale wazoefu...
Nimekuwa ninashuhudia matangazo juu ya kifaa hiki cha hewa cha Kip Tech. Sasa naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu bei yake na ubora wake watuhabarishe.
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dk. Reginald Mengi, akizungumza wa Mkuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa (UN) nchini, Alberic Kacou (kushoto) wakati alipomtembelea Mengi ofisini kwake jijini Dar es...
Patricia Kimelemeta na Ramadhan Semtawa
KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imeibua tuhuma za ufisadi wa Sh2.7 bilioni katika mradi wa ujenzi wa machinjio ya kisasa Gongo la...
HABARI WANAJAMII HOPE NI WAZIMA NILIKUWA NAHITAJI MSAADA WA UPATIKANAJI WA SPICES ZIFUATAZO WHOLE DRY LONG CHILLIES,CORIANDERS,FENUGREEK...NA KAMA MKINIPA NA BEI YA KWA KG...NITASHUKURU KUNA SOKO...
I recently done little bit of research bongo naona hatuna Dating site ya ukweli ingawaje kuna domo zege wa kutosha na vijana ambao wapo busy sana na shughuli za mjini kuwafanya washindwe pata...
A prominent member of the Tanzanian business community has made an impassioned appeal for more Tanzanians to engage in mineral prospecting, saying that would help them reap handsome benefits from...
natumaini wote ni wazima mimi ni mjasiria mali wa matunda nina wazo la kuwa na kiwanda kidogo cha juice(Back yard Industriery)cha juice ya mapera water melon etc, sasa nauliza wapi naweza kupata...
wakuu
naona ni muda muafaka wa jamii forums kujitanua kibiashara zaidi baada ya kuwa na members zaidi ya 50,000
sasa nilikuwa nawaza kama wamiliki wakiamua kuuza share zao au kutafuta investors...
WADAU NISHAURINI NATAKA KUFUNGUA HARDWARE NA SALOON YA KUNYOA ILA SIJUI UTARATIBU WA KUPATA VIBALI HALALI TAFADHALI WENYE UTAALAM WANISHAURI
heshima mbele
Wadau,
Naomba niulize kampuni serious inaweza kusponsor blog ambayo ukiingia unaona maneno ya huyu katembea na yule au za matusi ya nguoni?
Naomba kuelimishwa, blog kama hizo ni za Uturn...
yeyote anaeuza vifaa used yaani computa, photocopy, printers kwa bei ya jumla na rejareja.ntaka kujaribu hii biashara.........pia nataka kuwa mnnuzi wa jumla wa computer devices kama flash, mouse...
To anybody in karagwe kagera region, will be highly requested to contact me soon for TIN ore , we need good purity of tin ore in many quantities.Please call 0715381371
Tanzani nakumbuka tuliambiwa tukiwa linked na mkongo/optic fibre gharama za net zingeshuka kwa 50% naona mkongo tunao naona gharama ziko kama kawa though baadhi ya maeneo zimekuwa stagnant...