bima ya biashara

Kuku wa Kabanga

JF-Expert Member
Oct 28, 2009
807
366
habari wanajf,nina duka langu la rejareja nataka kulikatia bima,hii kitu ipo bongo?na kampuni ipi nzuri?naomba uzoefu na hata utaalam ktk hili.
 
Ipo sana hiyo. ningekushauri ukatie bima kupitia kwa Broker kuliko wewe kwenda moja kwa moja kwenye kampuni ya bima . utapata usumbufu sana kufuatilia likitokea tatizo. lakini broker yeye atakomaa nao mpaka unalipwa kwasababu yeye ndo anawapelekea biashara kila wakati anakuwa anafahamiana nao kwa karibu tofauti na wewe ambaye unakuwa umewapa biashara moja tu.
 
Back
Top Bottom