Ushauri wa Kusajili Biashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wa Kusajili Biashara

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by AMARIDONG, Mar 27, 2012.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  WADAU NISHAURINI NATAKA KUFUNGUA HARDWARE NA SALOON YA KUNYOA ILA SIJUI UTARATIBU WA KUPATA VIBALI HALALI TAFADHALI WENYE UTAALAM WANISHAURI

  heshima mbele
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Mkuu hiyo hardware ni ya ukubwa gani? unakisia mauzo yako yatakuwa kiasi gani kwa mwezi kama ni ndogo na hutajihusisha na mambo ya Tender kwenye taasisi kubwa au serikalini......nafikiri Leseni na TIN inatosha.....kuhusu saloon zaidi ya leseni na TIN sidhani....ngoja tungoje wajuzi zaidi!!
   
 3. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  mkuu ni rahisi sana nenda brela
   
 4. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NENDA BRELA KASAJULI JINA LA BIASHARA YAKO, gharama yake haizidi TSH 16,000/- Ukipata hiyo certificate of business registration usually zinakuwa 2 kisha nenda TRA ukachukue TIN na baada nenda manispaa/halmashauri kachukue leseni ya biashara, chukua document zako hizi nenda benk kafungue a/c kisha anza kutengeneza pesa kwa kwenda mbele mkuu.
   
Loading...