Kisima cha pesa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kisima cha pesa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Tyegelo, Mar 28, 2012.

 1. T

  Tyegelo Member

  #1
  Mar 28, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Niko Songea, nina 2.5m mkononi. Nifanye biashara gani ili nami baadaye niwe kama akina fulani? Wazo lako litanifanya nipate kisima cha pesa, nibaki nikichota tu. Tafadhali nishaurini wakuu.
   
 2. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  nasubiria ushauri wenu
  nami nicopy
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuanza kununua mashamba mengi na kuyaendeleza na pia lima mbogamboga zinalipa sana!
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kafanye biashara ya dhahabu mbinga(mpepo)
   
 5. c

  changman JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwanza kabisa acha ndoto za kupata utajiri wa haraka haraka. Mbili idea yoyote katika zama hizi za miaka ya maendeleo inalipa.
   
 6. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  Vijana wengi wanaotaka kufanya biashara huwa hawafikii malengo kwa kudhani watakua matajiri "overnight",kwwa kawaida inaweza kuchukua biashara miaka hata mitatu kukupa faida,na inaweza pia ikakuchukua mwaka,au pengine hata miaka kumi,kazi ni kwako mwenyewe,inabidi ukomae tu.
   
 7. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wewe mkuu upo Songea hapo biashara ya mazao kama maharage na mahindi yanapatikana kwa bei poa,hakuna mtu anayepaki sembe hapo Songea,nunua vifungashio kadhaa anza kununua mahindi yasage funga sembe na uuze hapo hapo Songea.
  Fikiria mahindi hapo ni bei poa ila sembe ipo juu sana.Acha uvivu fanya kazi utengeneze ajira kwa wenzako.
   
 8. m

  majogajo JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nimependa ushauri wenu..........lkn bado tunakaribisha ushauri.
   
Loading...