upatikanaji wa spices hizi wakuu

bigjeff

Senior Member
Oct 25, 2009
111
22
HABARI WANAJAMII HOPE NI WAZIMA NILIKUWA NAHITAJI MSAADA WA UPATIKANAJI WA SPICES ZIFUATAZO WHOLE DRY LONG CHILLIES,CORIANDERS,FENUGREEK...NA KAMA MKINIPA NA BEI YA KWA KG...NITASHUKURU KUNA SOKO KUBWA TUU NIMEPATA KAMA MTU PIA ANAINE TUNAWEZA TUKAWA PAMOJA MA E-MAIL NI ojonathan66@hotmail.com...asanteni
 
Mkuu hizi Spices unaweza kupata lakini weka majina ya Kiswahili watu wazielewe. Unaweza kuta zipo tu Kariakoo
 
watu kama nyinyi lazima ufanikiwe, umenifurahisha ......you are not selfish

keep it up .... labda tu niseme upatikanaji wa pili pili hizi ni kwa kiwango kidogo sana ... yaani sidhani kama kuna watu wanalima in big quantity yield sana sana utazikuta soko la kariiakoo na kisutu kwa mafungu tena ni zile mbichi ambazo sio dried.... in fact wachina na wahindi wanazitumia sana na chinese restaurants za hapadar wanaziagiza dried red long chillies from china

labda upatikane ushauri wa watu kuingia kilimo hicho kama soko lipo uhakika na confirmed
 
HABARI WANAJAMII HOPE NI WAZIMA NILIKUWA NAHITAJI MSAADA WA UPATIKANAJI WA SPICES ZIFUATAZO WHOLE DRY LONG CHILLIES,CORIANDERS,FENUGREEK...NA KAMA MKINIPA NA BEI YA KWA KG...NITASHUKURU KUNA SOKO KUBWA TUU NIMEPATA KAMA MTU PIA ANAINE TUNAWEZA TUKAWA PAMOJA MA E-MAIL NI ojonathan66@hotmail.com...asanteni

Ni-PM number yako, kuna mdau wangu mmoja ni muuzaji wa spices (Wholesale). Aina yoyote ya Spice nadhani anazo.

Bei hizi hapa
1. Chili - whole dry = Tsh 24,000
2.Corriander = Tsh 15,000
3. Fenugreek = Tsh 17,000

Tuma number then nitampa akutafute.
 
asante sana wadau nashukuru kwa mawazo yenu namba yangu ni +447809721371....nipe na yeye namba yake itakuwa rahisi kwa mimi kumcheki
 
Ni-PM number yako, kuna mdau wangu mmoja ni muuzaji wa spices (Wholesale). Aina yoyote ya Spice nadhani anazo.

Bei hizi hapa
1. Chili - whole dry = Tsh 24,000
2.Corriander = Tsh 15,000
3. Fenugreek = Tsh 17,000

Tuma number then nitampa akutafute.

sante sana wadau nashukuru kwa mawazo yenu namba yangu ni +447809721371....nipe na yeye namba yake itakuwa rahisi kwa mimi kumcheki
 
@kiongozi nimempa mdau number yako anaweza kukupigia ili mjadiliane kwa kina. Good luck!
 
Back
Top Bottom