Dating site Business in Bongo

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
I recently done little bit of research bongo naona hatuna Dating site ya ukweli ingawaje kuna domo zege wa kutosha na vijana ambao wapo busy sana na shughuli za mjini kuwafanya washindwe pata wachumba wa ukweli. Sasa basi by coming up with the DATING SITE maybe by the name BONGODATE.COM na kuifanya FREE in order to bring more people together and also looking for sponsors like AIRTEL, VODACOM etc. Putting some advertising on EATV, TBC and Redios. Hii kitu hamuoni inaweza kuwa big deal bongo hapa. Ulaya zinalipa sana hizi

Note: On this thread there is no room for negative thoughts, I only want to hear POSITIVE thinkers opinions on this one
Thanks!
 
mbona hiyo BONGODATE.COM inafanya kazi; au ndo ushaifungua
nakumbukaga kampni ya simu ya Buzz ilianziasha huduma hii ya matchmaking miaka kadhaa ilopita.. hebu nusanusa yako iende hadi kwenye data za huko uone pa kuanzia...
changamoto...tamaduni zetu ziko tata kuhusu uwazi katika kusaka mweza...
 
marafiki.com......mbona ipo siku nyiingi

halafu hivi facebook haihusiki na date???????
 
jamani hivi hio darchat wameifanyaje chatrum yake,zamani nilikuwa napenda kuchat kuleila siku hizi niikingia nakutana na maajabu tu...
 
hautapata watu wengi watanzania tuko reserved likija suala la mitongozo,labda watu waweke profile za uongo....
 
hautapata watu wengi watanzania tuko reserved likija suala la mitongozo,labda watu waweke profile za uongo....

unaweka kufanikiwa kutegemea na vitu utakavo weka kwenye hiyo website yako! make kuchallenge nyingi wengi nowdays wanatumia facebook! na hii jamiiforums pia!
 
nimekuwa na wazo kama hili kwa kitambo sasa. Kumbe kuna wadau pia wanajua haya. Ishu ya kukutana mitandaoni haina tija. Inatakiwa physical place. Na mtu akiwa hapo ajue kuwa yupo katika harakati za kutafuta mwenza na sIO MALAYA WALA POOZEO WALA BUZI! Huu ndio ushauri muafaka. Mitandao iko mingi na haina tija. Cha msingi wadau wachague kiota cha haya makutano. Anzeni kupendekeza viota na vipigiwe kura.

Mleta mada ana hoja nzuri sana. Maisha ya sasa ni mchakamchaka sana. Vijana hawana muda wa kutulia na kusomana. Ni ngumu kusimamishana barabarani. Sasa kiota ni suluhu
 
This all i wanted to hear from you positive thinkers. Thank you all for your useful contributions I'll work upon them. Stay blessed
:wave:
 
I recently done little bit of research bongo naona hatuna Dating site ya ukweli ingawaje kuna domo zege wa kutosha na vijana ambao wapo busy sana na shughuli za mjini kuwafanya washindwe pata wachumba wa ukweli. Sasa basi by coming up with the DATING SITE maybe by the name BONGODATE.COM na kuifanya FREE in order to bring more people together and also looking for sponsors like AIRTEL, VODACOM etc. Putting some advertising on EATV, TBC and Redios. Hii kitu hamuoni inaweza kuwa big deal bongo hapa. Ulaya zinalipa sana hizi

Note: On this thread there is no room for negative thoughts, I only want to hear POSITIVE thinkers opinions on this one
Thanks!

fanya haraka kuanzisha hiyo kabla wenzio hawajaiba wazo lako
 
Back
Top Bottom