Wadau hii Kip Tech eti haili umeme kama Air Condition?

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
Nimekuwa ninashuhudia matangazo juu ya kifaa hiki cha hewa cha Kip Tech. Sasa naomba kuuliza kwa wale wanaofahamu bei yake na ubora wake watuhabarishe.
 
Ndo kipoje hicho, cjawahi kisikia, please weka picha..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom