Natafuta machine ya kutengeneza juice(kwa ajili ya kiwanda kidogo) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta machine ya kutengeneza juice(kwa ajili ya kiwanda kidogo)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kamongo, Mar 10, 2012.

 1. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  natumaini wote ni wazima mimi ni mjasiria mali wa matunda nina wazo la kuwa na kiwanda kidogo cha juice(Back yard Industriery)cha juice ya mapera water melon etc, sasa nauliza wapi naweza kupata machine ya kuprocess hizo juice kwa bei nafuu.
  wasalisha
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,338
  Trophy Points: 280
  Mkuu hiyo juice unataka ukishaipata uizeje kwenye vikombe au uipack labda?
   
 3. mabwana

  mabwana JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 281
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  machine china , au india unapata kwa bei nafuu, ukilnganisha za ulaya ni ghali sana
  nenda kwenye alibaba utapata bei tofauti kwa uwezo wako
   
 4. m

  majogajo JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  nmekpatamkuu
   
 5. G

  Gongolo Member

  #5
  Mar 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna duka moja karibu na Burhani Hospital. Ziko hapo.
   
Loading...