kwa hiyo nakata tiketi ya klm kwenda paris nikfika amsterdam inakuje?
mkuu usiwe muoga.. yaani unataka upewe desa umeze .. try on ur own ndio kujifunza huko.... ukiwa safarini ukikwama mahali unauliza :redface:
UKishakata tiketi la KLM, watakupa muda wa kufika airport jitahidi ufike mapema ili wakitanganza tu check-in, uwe wa kwanza au wa pili, ukishaingia basi wewe agiza wine au juice ya apple gonga taratibu hadi utakapofika Amsterdam, pale kwenye boarding pass yako watakuwa wameandika ndege unayotoka nayo amterdam kwenda Paris namaanisha hiyo ndege ina namba zake, gate utakaloingilia na muda! kwa hiyo ukiwa hapo amterdam we check au uliza hilo gate liko wapi na check-in yake iko wapi! utapata maujanja mengine hapo hapo. All the best!mkuu sio uoga nataka kupata details kwa wazoefu ili nisije nikwama nikaingia hasara kwa kutoelewa vitu vidogo.
shukrani mkuuUKishakata tiketi la KLM, watakupa muda wa kufika airport jitahidi ufike mapema ili wakitanganza tu check-in, uwe wa kwanza au wa pili, ukishaingia basi wewe agiza wine au juice ya apple gonga taratibu hadi utakapofika Amsterdam, pale kwenye boarding pass yako watakuwa wameandika ndege unayotoka nayo amterdam kwenda Paris namaanisha hiyo ndege ina namba zake, gate utakaloingilia na muda! kwa hiyo ukiwa hapo amterdam we check au uliza hilo gate liko wapi na check-in yake iko wapi! utapata maujanja mengine hapo hapo. All the best!
wakuu naomba mnijulishe ni vitu gani vinahitajika mfano labda nafanya booking ya flight from Dar to Paris via amsterdam,au nataka kufika paris lakini lazima nipitie amsterdam,wale wazoefu naombeni msaada wenu.
hapa labda ueleze....nia ni ufike Paris au unataka uone na mazingira ya Amserdam....?
UKishakata tiketi la KLM, watakupa muda wa kufika airport jitahidi ufike mapema ili wakitanganza tu check-in, uwe wa kwanza au wa pili, ukishaingia basi wewe agiza wine au juice ya apple gonga taratibu hadi utakapofika Amsterdam, pale kwenye boarding pass yako watakuwa wameandika ndege unayotoka nayo amterdam kwenda Paris namaanisha hiyo ndege ina namba zake, gate utakaloingilia na muda! kwa hiyo ukiwa hapo amterdam we check au uliza hilo gate liko wapi na check-in yake iko wapi! utapata maujanja mengine hapo hapo. All the best!
Duh, piga simu au nenda kwenye ofisi za mashirika ya ndege watakuelezea hadi utapewa notisi za kujisomea.
Usisahau kuuliza jinsi ya kutumia toilet ya kwenye ndege za ulaya maana nasikia huwa ni automatik sana.
Unaweza kuta pameandika 'Toilet" afu huoni kichumba, kumbe ni kabatani kadogooo kama kipunje cha mchele, ukikabonyeza tu choo kinakuja.
Usije ukatumia chupa ya maji ya uhai bure kujisevia.
Bado suala la msosi, kama hujui misosi kwa kireno au kiitaliano, beba mihogo ya kuaanga ya pale koko bich.
Na ukifika mastadam, konsentrate, ukizubaa kidogo unakonect kurudi TZ badala ya kwenda Paris, hapa mbinu mbadala ukifika JIA, tangaza utafutiwe mtu anayeenda paris unamfuata huyo huyo.
Nina ushauri mwingi ila acha nipige kazi kwanza, kama hujanielewa nibip kwa LIKE, sio PM.
Mimi sijaelewa; unataka utoke nje ya airport halafu baadaye uunganishe? For that nafikiri utahitaji visa.
Ila kama ni kuboard ndege nyingine mbona easy tu, boarding pass utapewa 2 hapa hapa Dar, moja ni ya kufika Amsterdam na ya pili ni ya kutoka a'dam kwenda Paris. Na hiyo inaonesha gate no na time; na uzuri wa airport za wenzetu kuna directives za kutosha, huhitaji hata kumuuliza mtu, kuna miscreen kibao inaoonesha flights na muda na boarding gate, vibao lukuki vya kuonesha directions za gates!
So worry not, visa card yako yakutosha kununua kahawa, books,wine nk. Ukiwa na Simu ya maana unatesa tu na line yako ya Voda!
wakuu naomba mnijulishe ni vitu gani vinahitajika mfano labda nafanya booking ya flight from Dar to Paris via amsterdam,au nataka kufika paris lakini lazima nipitie amsterdam,wale wazoefu naombeni msaada wenu.
Utakonektia Bashneti lakini kumbuka mtapumzika Qwayu, usisahau kuninunulia gongo pepsi moja.Nataka kuja yenda chini via Lang'ata.
Flight yangu ya punda nikonektie wapi?
Upo juu mamaa...ulienda Paris na ATR au vile vindege vidogo vya Costal tours!!
Kwenye mihogo ya koko bichi umeniacha hoi...yaelekea wewe ni mteja mzuri sana wa pale!!