Hivi Kampuni serious inaweza ku sponsor Blog za kutukanana?

kampuni zinaangalia traffics za blog ni watu wangapi wana visit katika blogs
Wao wanafanya marketing mfano u-turn ni moja kati ya top ten blogs zinazovisitiwa kwa wingi so ndio maana vodacom wako hapo
U.s.a watu wanafanya sana hii unakuta mtandao wa ajabu tu unaongelea maisha ya mastaaa flani kaliwa na flani ila makampuni yanayo toa hela yao ni ndefu sana

Google nao na seo marketing yao hawachagui ni pesa yako na ndio maana hata utakuta mitandao ya NGONO inapatikana kiurahisi katia SEO
 
Wangalia watembeleaji wa blog hawaangalii maudhui au lugha inayotumika.
 
Umhimu wa kampuni ni kujitangaza kwani wanao visit blog za matusi wanaweza pia kuwa wateja wa kampuni husika.

we are after making money.
 
Back
Top Bottom