Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Dear Members, Naomba mtu anisaidie maelekezo ya kutoa mzigo ambao umetumwa kwenye taasisi ya elimu ambao unakuja kama donation. Kuna jamaa yangu anasoma huko nje sasa sehemu ya project yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natarajia kurudi Tanzania ili kuendesha maisha yangu yaliyobaki mpaka kitakapoeleweka. Nina Kiwanja Kibaha Lower Density , nataka kukitumia Kuombea Mkopo kwenye Mabenki yetu ya Biashara ! Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamii, hali ya mauzo ya sukari ya ndani ni mbaya. Magodown ya kiwanda cha sukari cha kilombero yamejaa na sasa sukari inawekwa nje ikipigwa na jua tuombe mvua za vuli zichelewe kunusuru sukari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Most of us are born procrastinators. That’s why we start saving late in life and hope to make up the difference by hitting the lotto or, if we must, by working longer. Neither is a great strategy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu namna ya kusajili bidhaa kwenye Shirika la viwango vya ubora wa bidhaa Tanzania (TBS) na Mamlaka ya kudhibiti chakula na dawa Tanzania (TFDA). naomba kujua...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Shirika la tanesco linafanya mabadiriko katika utendaji mzima,je unataka iweje? Tao Maoni yako kupitia Email:tanesco.iweje@tanesco.co.tz Facebook:Tanesco Iweje
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aliongeza gesi asili ni nafuu kwani mteja aliyekuwa anatumia mitungi miwili ya LPG ya kilo 15 kwa mwezi atapunguza gharama kwa kutumia gesi asili ya Sh. 50,000 kwa miezi sita. Mtungi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kutokana na location niliyopo ni wilayan ofisi za tra hawatoi tin mpaka mkoan nami nature ya kazi Inabana kutoka weekdays mpaka wkend, je naweza kujiregister kupata tin online? Or any other option?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama soko la uhakika lipo, Ni kazi ipi kati ya kufuga kuku wa nyama na kuku wa mayai inalipa au ina faida zaidi?
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Serikali imeanzisha mfumo wa kuweka rekodi za wakopaji wa taasisi za fedha ili kudhibiti upotevu wa mikopo kupitia wateja wasio waaminifu. Pia mfumo huo utasaidia kupunguza masharti ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In line with an eagerly awaited ATCL take-over by Sonangol, the ATCL management*rushed to lease A320-214 from Wallis Trading, a company said to have a close*working relationship with Sonangol...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Naomba kuuliza wakuu hizi pikipiki aina ya boxer ziko fresh? Hazisumbui? Na bei yake ikoje na anaetaka kufanya biashara na mimi ani pm Nitashukuru kwa mawazo yenu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, kuna kifaa nataka kununua Amazon.com chenye ukubwa wa 14 x 13 x 7 Inches 17 Paunds naomba kwa anayejua gharama za kutuma na jinsi ya kutuma Asante
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimefuga kuku 180 wa mayai (kuku wa kisasa). Lakini naona hawatagi mayai ipasavyo. Niliwanunua kuku hawa mwezi wa april tar 15, 2012 wakiwa vifaranga kabisa. Nimehudumia tangu aprili hadi leo...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu, Mkijaribu kufuatilia triend ya Biashara Duniani, Ushindani ni wa Hali ya Juu kabisa, na si kwa makampuni madogo tu, No makampuni makubwa ndo wako katika hatari zaidi, Na kwa sasa Kampuni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizi ni bastola mbovu sana katika historia, zinazouzwa na Tanganyika Arms Ltd ya moshi. Kama unayo bastola ya aina hii ni bora uwarudishie mapema wakupe nyingine maana wakati utakapovamiwa na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau nataka kuagiza toyota verossa ..CIF usd 3000...kodi wanaweza kunicharge kiasi gani....nawasilisha
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wana JF nina hitaji msaada kama kuna mwenyeji wa Hombolo Dodoma, ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo hayo ni muajiliwa mpya chuoni. Vile Vile kama naweza kupata kiwanja cha kujenga kwa gharama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf heshima kwenu. Ni kweli ajira zinasumbua wasomi wengi tuna picha ya kukaa ofisini kwenye kiti cha kuzunguka na kiyoyozi pindi tumalizapo chuo. Mimi kama kijana nataka kuanzisha biashara ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu katika uwanja wa biashara sasa hivi kumekuwepo na wingi wa makampuni makubwa duniani katikan kila sekta, tukianza sekta ya Habari, Teknolojia, Media, Fedha, Afya na Madawa n.k...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…