Air Tanzania Airbus A320 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Air Tanzania Airbus A320

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Fixer, Sep 26, 2012.

 1. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  In line with an eagerly awaited ATCL take-over by Sonangol, the ATCL management*rushed to lease A320-214 from Wallis Trading, a company said to have a close*working relationship with Sonangol, headed by influential Hong Kong businessman,*Sam Pa. The plane (A320) had been operated in Liberia where it was leased, before it*was leased to El Salvador.By the time ATCL entered into the lease agreement in October 2007 the aircraft was*due to go for major technical maintenance, carried out every 12 years (known as*Check C’ plus 12 years in airline industry). But that fact was only established afterthe agreement was hastily penned down, leading to the aircraft to be grounded in*France for seven months.On its return from technical maintenance in May 2008, the plane remained in the airfor seven months until December 2008 when was re-grounded for maintenance and*never flown ever since, until it was released by ATCL in October 2011. That was two*years before expiration of the lease agreement but the leasing bill stands as if*the plane fully operated throughout the agreed period of lease.*“Following the continual deterioration of the ATCL (Air Tanzania Company Ltd) its*steering committee held a meeting on 1st March 2010, and came out with the conclu-sion that to maintain the airbus contract is uneconomical because of the following:(i) The Company has no maintenance facility for Airbus A320 aircrafts(ii) It has no back up aircraft engine of the engineers or pilots to support the*operation of the Air BusIt needs about Sh13.9 billion in 8 months to operate it, noted the CAG report to theParastatal Organisations Accounts Committee (POAC) that has never been madepublic.Furthermore, whereas the ATCL report dated 14th December 2010, indicated that theaircraft was found painted in Air Guinea colours during inspection in September*2010, the statement of accounts submitted by Wallis Trading Inc. showed the lessor*continued to bill ATCL and by 30th January 2010 the debt stood at Sh322,671,*841,580 as detailed below,” it further said.However another report submitted last month to a Parliamentary committee shows*that the total cost for leasing the used Airbus A320 is about $200 million, monieswhich are enough to buy two brand new aircraft of the same generation.According to the Airbus website, a brand new A320 costs an average price of $88.3*million.
   

  Attached Files:

 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Nchi ya wapenda madili kila kona unategemea mnaweza kuwa na kmpuni inayoshindana na nchi zingine!! Kenyairways tu inatupa jampa jampa hata hatushtuki. Watu wanakwiba wanayaweka mapesa kwenye benki badala ya kuziweka kwenye mzunguko, viongozi hawako tayari kukosolewa wala kupewa taarifa kama hizi sababu wote ndiyo zao.
   
 3. Mwanahisa

  Mwanahisa JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 1,397
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Alafu mzee Shirima akikopa ndege za wafaransa mnasema anaiuhujumu ATCL,
  Mtaji wa masikini ni akili sio nguvu.
   
 4. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Hivi ile sheria ya kununua ndege, meli... Chakavu iliyokuwa inapigiwa chapuo na Wabunge pamoja na baadhi ya Mawaziri imefikia wapi?
  Wakati wenzetu (Rwanda) wananunua bidhaa mpya sis tunapigia kelele na kukodi 'makopo'.
  Mungi ibariki Tanzania.
   
 5. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hii ni hatari!!!
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,446
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Flying coffins
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Report hii ina factual errors. Historia ya A320 ni ndefu. Kabla hujasema kuhusu A320 inabidi uelewe kwanini ilikuja in the first place. Inabidi uelewe zile deposit ya ndege tatu aina ya A319 kiasi cha $3.5 million alizolipa China Sonagol Airbus ziliishia wapi? Inabidi ujue nani alilipa deposit ya kukodisha A320 na nani alifungua letter of credit kule Air Mauritius kwa ajili ya maintenance na kwa nini alifungua. Hivyo vyote sio ATCL alifanya. Nini ulikuwa msimamo wa Baord kuhusu kuhusu A320. Zitto Kabwe alizungumza yote haya Bungeni kuwa baada ya CHina Sonagol kunyimwa liseni za madini na gas na mafuta ndo chanzo za kususua leease ya A320 na kuacha kununuliwa A319 na Q-400 na pia kususua kwa Terminal III. Ule mkataba wa A320 ulikuwa ni miaka 5 (au 60 months) sasa hesabu tangu 2007 miaka 5 inaisha lini?
   
 8. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huwa nikisoma haya mambo najiuliza USALAMA WA TAIFA WAKO WAPI? WAPI UZALENDO WETU? Tumshukuru Mungu ilirudishwa bila kuleta maafa but mambo haya yanachefua? Je wahusika kina nani? Je wamewahi kuletwa mbele ya mkondo wa sheria? Nchii yangu nakupenda....lakini kwa mwendo huu inawezekana wanaokuendesha hawapendeki!
   
 9. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #9
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  masikini hawa wenzetu walijisahau na kudhani nchi ni viongozi tu lakini ukweli unabaki palepale kuwa usalama wa Watanzania wote na mali zao ndimo tunawakuta viongozi! Na kibaya zaidi wanaamini kuwa viongozi ni wale walioko madarakani tu na ndio maana wapinzani wanateseka sababu ya hii taasisi bila kusahau innocent fellow like Dr. Ulimboka nk.
  Ukweli ni kwamba tumeufikia wakati wa hatari katika historia kama nchi na bila kupata mtu/watu makini wa kutuelekeza jinsi ya kutoka ...assuredly, tutaangamia sote!

   
 10. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mkuu nazidi kuwa na wasiwasi na vichwa vya Watanzania na kukumbuka kauli moja iliyowahi kutolewa siku za nyuma Bungeni Dodoma kuwa huenda vizazi vijavyo vikafukua mafuvu yetu kujua kama tulikuwa binadamu wa kawaida au aina nyingine katika hii sayari ya dunia!
  Naenda nje kidogo ya mada ili kuhalalisha mawazo yangu maana watu wanasema ni serikalini tu lakini hebu tafakari na hili:
  Hivi inawezekanaje timu masiki ya Tanzania ambayo hata akaunti yake ya benki haina pesa kumkodisha kocha kutoka nje alafu baada ya siku 70 anadai Million mia mbili (200,000,000/-)???!!!!!

  Soma hapa oune: Saintfiet, Yanga see amicable end to contact


  By Majuto Omary
  The Citizen Reporter
  Dar es Salaam. Contrary to what some people had expected, compensation for sacked Young Africans head coach Tom Saintfiet has settled nobly and amicably.

  Saintfiet confirmed yesterday that Yanga leadership has paid him the money he deserves in compensation for terminating his contract.
  "We have settled the matter amicably. As of now, they owe me nothing, I expect to return to Belgium on October 10," the Serbian said.

  There were worries among some soccer fans that there could be more twists and turns before the "divorce" finalised by the two parties.
  But Saintfiet, whose fairytale "marriage" with the Kagame Cup champions came to an abrupt end on Friday, declined to reveal more details on the package he got in compensation, saying it was confidential.

  However, reports had it that the Belgian tactician would earn at least Sh200 million. The 39-year-old also hinted that he may return to Tanzania in the future, despite the fact that a number of clubs (outside Tanzania) have shown interest in hiring him.

   
 11. BUBE

  BUBE JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  So what do we need to do? MImi nadhani labda kuna mambo makubwa usalama wa taifa wanaweza kufanya
  1. Kuajiri watu wenye weledi wa kutosha kwenye nyanja tofauti ili waweze kuraise alarm before its too late
  2. Kufanya mapitio ya hadidu rejea na job descriptions ili waone kama zinaendana na wakati tulio nao. Mbona zamani mambo yakifumuliwa kabla hajatendwa, leo inakuwaje deals chafu kama hizi zinaendelea kujaza magazeti?
   
Loading...