Nataka kukukopa ! ushauri please

nguvumali

JF-Expert Member
Sep 3, 2009
4,923
1,325
Natarajia kurudi Tanzania ili kuendesha maisha yangu yaliyobaki mpaka kitakapoeleweka.

Nina Kiwanja Kibaha Lower Density , nataka kukitumia Kuombea Mkopo kwenye Mabenki yetu ya Biashara ! Je Inawezekana ? Maana Nataka 20,000,000 niongezee kwenye Mtaji wangu ili nijiingize katika Biashara Ya Mazao ya Nafaka.

Je Mabenki watanikopesha ? Ushauri muhimu.
 
kiwanja kama hakina nyumba benki hawakubali kuwa security/collateral hatakamakina hati .... pia kama huna biashara unaendelea (existing) au wewe ni start-up sahau kukopeshwa na mabenki hapa bongo ... huu ndiyo ukweli ... karibu sana Tz
 
Ungewasiliana na banks kadhaa kwa kuwatumia email. Unahitaji valuation certificate pia nadhani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom