Hakuna ajira tushindwe hata hii?

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,868
882
Wanajf heshima kwenu. Ni kweli ajira zinasumbua wasomi wengi tuna picha ya kukaa ofisini kwenye kiti cha kuzunguka na kiyoyozi pindi tumalizapo chuo. Mimi kama kijana nataka kuanzisha biashara ya popcorn (bisi) nataka mashine mbili za popcorn za saizi ya kati na ziwe brand neW HATA KAMA NI UZID BAS IMPORTED ORIENTED. NAOMBA KUJUA BEI ZAKE. Mipango yangu ni kwa siku kila mashine iweze kuuzia watu mia kwa sh 500 mia tano nauhakika nitafanikiwa tu. Nisaidieni BEI NIJIAJIRI JAMANI MAANA NIMEZUNGUKA KUTAFUTA KAZI LAKINI WOLA. NISHINDWE HATA HII? HAPANA PATAKUWA NA MKONO WA MTU.
 
Mkuu fugees ingia kule jukwaa la biashara kuna topic inahusu hizo mashine imeanzishwa na wadau wengi wamechangia.
Bila shaka utapata majibu sahihi unayoyahitaji.
 
Wanajf heshima kwenu. Ni kweli ajira zinasumbua wasomi wengi tuna picha ya kukaa ofisini kwenye kiti cha kuzunguka na kiyoyozi pindi tumalizapo chuo. Mimi kama kijana nataka kuanzisha biashara ya popcorn (bisi) nataka mashine mbili za popcorn za saizi ya kati na ziwe brand neW HATA KAMA NI UZID BAS IMPORTED ORIENTED. NAOMBA KUJUA BEI ZAKE. Mipango yangu ni kwa siku kila mashine iweze kuuzia watu mia kwa sh 500 mia tano nauhakika nitafanikiwa tu. Nisaidieni BEI NIJIAJIRI JAMANI MAANA NIMEZUNGUKA KUTAFUTA KAZI LAKINI WOLA. NISHINDWE HATA HII? HAPANA PATAKUWA NA MKONO WA MTU.
sasa si uukate kwanza huo mkono wa huyo mtu halafu ndo uendelee na biashara vinginevyo utakusumbua huo mkono.
 
NIMEZUNGUKA KUTAFUTA KAZI LAKINI HOLA.... NISHINDWE HATA HII? HAPANA PATAKUWA NA MKONO WA MTU.

Kama una amini kuna mkono wa mtu una uhakika gani hautakufuata kwenye hiyo biashara?? acheni imani za kijinga!! we kubali tu kuwa haukuwa na vigezo au bahati ya kupata kazi!!
 
Mkono tu hauna madhara makubwa sana,
Hapo patakua Na Mtu Mzima kabisa na viungo vyote!!
 
Mkono tu hauna madhara makubwa sana,
Hapo patakua Na Mtu Mzima kabisa na viungo vyote!!

bora mkono kuliko mguu wa mtu,unaweza kukimbia nchi maana watakuja watu wa ushuru na kurazimisha mgawane pasu.
 
Mkuu hizo popcorn si unawauzia pia watoto wa wao wanaokaa kwenye viyoyozi? Kila mtu akikaa kwenye kiyoyozi maisha hayatoenda,kiuchumi tunasema "you can not make urself welloff without makin someone else worseoff,so ukiona unapigika basi ujue riziki yako kuna mtu anaichukua na pia wewe ukianza kupata basi ujue umenyang'anya mtu,hyo ndio mambo ya uchumi yanavyoendaa wote tukiwa matajiri heshima haitakuwepo nani ataosha magari? Nani atazibua vyoo? Nani ataweka supermarket? Nani atalima? Umeona kutakua na mchafuko!!!
 
Back
Top Bottom