Jinsi ya kupata TIN help | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi ya kupata TIN help

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by bface, Sep 30, 2012.

 1. bface

  bface Senior Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kutokana na location niliyopo ni wilayan ofisi za tra hawatoi tin mpaka mkoan nami nature ya kazi Inabana kutoka weekdays mpaka wkend, je naweza kujiregister kupata tin online? Or any other option?
   
 2. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,274
  Likes Received: 547
  Trophy Points: 280
  Mkuu kumbe njia ya Kupata Unaifahamu halafu unauliza watu humu, Njia ndo hiyo ni lazima Uende TRA mkoani, hakuna njia ya Short cut ya Kupata TIN
   
 3. M

  Mugaga JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 381
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Siku hizi TIN lazima wakupige picha kwa hiyo lazima uende kwenye ofisi zao,hiyo huduma ya Online haifanyi kazi.
   
Loading...