Kutuma mzigo kwa DHL

Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,603
486
Habari wadau, kuna kifaa nataka kununua Amazon.com chenye ukubwa wa 14 x 13 x 7 Inches 17 Paunds naomba kwa anayejua gharama za kutuma na jinsi ya kutuma

Asante
 
Back
Top Bottom