Tunza mazingira kwa kutumia Gas kwa Tshs 50,000tshs kwa miezi SITA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunza mazingira kwa kutumia Gas kwa Tshs 50,000tshs kwa miezi SITA

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Njowepo, Sep 30, 2012.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Aliongeza gesi asili ni nafuu kwani mteja aliyekuwa anatumia mitungi miwili ya LPG ya kilo 15 kwa mwezi atapunguza gharama kwa kutumia gesi asili ya Sh. 50,000 kwa miezi sita. Mtungi wa kilo 15 wa LPG huuzwa Sh. 55,000.Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Petroli wa TPDC, anayeshughulia mradi huo, Modestus Lumato, aliliambia NIPASHE Jumapili, katika mahojiano ya jitihada za TPDC katika kutunza mazingira na kuendeleza matumizi ya nishati mbadala majumbuni.
  MY TAKE
  Big up its a nice initiative but lets it be widely distributed all over DSM and Tanzania atlarge for more people to use the gas and thus conserve the environment.
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Hao jamaa wako wapi mi nawaona kwenye media tu
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Alifahamisha kuwa mradi huo unasambaza gesi asilia inayotoka Songosongo mkoani Lindi lakini pia utatumia ile ya Mtwara baada ya ujenzi wa bomba jipya la gesi la Mtwara –Dar kukalimika mwakani. Alisema ufungaji ulianzia kwenye nyumba za TPDC Mikocheni ambazo wakazi wake wameanza kuitumia.
  Umeanzia uko so utasambaa
   
Loading...