Wana jamii forums nimesoma kwenye gazeti la IPP la tarehe 6 July, na kuna maelezo kuwa Unesco wamekubali kuachia kilomita 200 za mraba katika mbuga ya Selous kwa ajili ya uchimbaji wa uranium...
By Daniel Semberya | East African Business Week | Monday, 03 October 2011
Tanzania needs a tune of $6.7 billion (Tsh11trn) to create the Kigamboni New City.
Officiating...
Habarini,
natafuta supplier wa mikaa aina mbili:
1.european beech charcoals
2.white oak Charcoals for BBQ
Kwa anayejua upatikanaji wake au yeye ni supplier/producer/manufacturer -- ntashukuru...
Naombeni mwenye kufahamu utaratibu wa kuanzisha shule Tanzania kwa foreigners unakuwaje. Nahitaji kufahamu mwekezaji anahitaji kuwa na vitu gani ie land, capital, etc na utaratibu wa jumla.
Wadau,
Leo nataka kuzungumzia kidogo suala la Programming katika radio mbalimbali.
Nimegundua mambo mawili muhimu katika radio zetu nyingi kwasasa.
1. Radio nyingi zinaiga radio zingine...
Mimi bado nashangazwa na sababu hasa ya kwanini Gharama za Internet za Tanzania ziko juu sana ukilinganisha na Kenya. Cable ambayo tunatumia ni hiyohiyo Kenya inatumia, wote tumepakana na bahari...
Allow me to share some intriguing issues pertaining the some mind boggling levies/taxes:-
1. The recent Fire levy of some 1,000/% on vehicles i.e saloons up to 40,000/= per year combined with...
Bank of Tanzania (BoT)
Speaking at an African Export-Import (Afreximbank) roadshow in a Dar es Salaam hotel on Monday evening, the deputy governor advised the country to increase exports...
Managing Partner of Mabibo Wines and Spirits Ltd James Rugemarila revealed the illegal beer importation at a press conference yesterday, noting that hundreds of tonnes were being smuggled into the...
Wadau wa Shinyanga,
Tumejaribu kufanya mini research juu ya soko la biashara ya radio Shinyanga. Mkoa huu bado unanafasi nzuri sana ya kutengeneza income kwa biashara hii ya radio. Shinyanga...
Centuries ago, the monsoon winds were credited for bringing trade ships from the Indian sub-continent and the Arab peninsula to the East African coast, carrying valuables like silk, pottery, metal...
Kampuni ya vodacome imetengeneza voucha ya tsh 450/=huku ikifahamu fika kuwa voucha hizi zinauzwa kwa shilling 500/=karibu sehemu kubwa ya Tanzania hususani Dar es salaa huko wauzaji wakidai...
Habari zenu wadau.Mwanzoni mwa mwaka huu nilianzisha uzi ulokuwa ukiongelea changamoto zinazotukabili wadau wa sekta ya kilimo (cha kisasa) na moja ya sababu nilizozieleza ilikuwa ni wataalamu wa...
10 African Millionaires To Watch by FORBES
These ten businessmen didn't make the cut for our inaugural list of the 40 Richest Africans, but some of them may be strong contenders for future...
Jana nimepata taarifa kwamba unaweza kujisajili atm card ya crdb katika simu yako. Nauna uwezo wa kutuma na kupokea pesa hata kuamishia tigo pesa,je hii ipo safe siwezi kubiwa na mtu kwa kutumia...
KONZA TECHNOLOGY CITY.........
Expected to Turn Kenya into a middle income country by the year 2030.
Computer generated picture of Konza city
The 2,000 hectare Konza Technology City will be...
Nimekuwa nikitumia Modem za VODACOM kwa muda mrefu sana lakini tangu mwezi Juni 2012 nahisi kuna uzembe au wizi wa makusudi unafanyika katika mtandao wa VODACOM. Hapa ofisini kwangu Staff wengi...
mimi siyo mtaalamu sana wa mifugo, mke wangu anataka kufuga kuku nyumbani, tatizo eneo letu ni dogo kiwanja kina ukubwa wa 30 kwa 20 tumejenga 20 kwa 15 nyumba ya kulala, imebaki sehemu ndogo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.