Kutoa mzigo wa msaada bandarini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutoa mzigo wa msaada bandarini

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Maundumula, Oct 1, 2012.

 1. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Dear Members,

  Naomba mtu anisaidie maelekezo ya kutoa mzigo ambao umetumwa kwenye taasisi ya elimu ambao unakuja kama donation. Kuna jamaa yangu anasoma huko nje sasa sehemu ya project yake amekusanya vitabu na vitu vingine ambavyo anataka kuvituma huku Tanzania kwenye shule ambayo itakuwa Singida au Arusha. Ameniuliza utaratibu wa kutoa bandarini unakuwaje? hebu naombeni malezo wakuu.
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Shule usika inamwandikia kamishna wa TRA kuomba msamahaa wa kodi,ila inabidi all docs za mzigo husika ziwe na jina na address za shule husika.
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hiyo process inatakiwa ifanyike muda gani kabla?

  Je huwa inachukua muda gani hadi huo msamaha utolewe (kibali) je inaweza kuwa rejected?
   
Loading...