Msaada; Upatikanaji wa vibali vya TBS na TFDA kwa bidhaa mbalimbali. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Upatikanaji wa vibali vya TBS na TFDA kwa bidhaa mbalimbali.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kig, Sep 29, 2012.

 1. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  wadau naomba mnipe uzoefu wenu kuhusu namna ya kusajili bidhaa kwenye Shirika la viwango vya ubora wa bidhaa Tanzania (TBS) na Mamlaka ya kudhibiti chakula na dawa Tanzania (TFDA). naomba kujua taratibu zinazotumika, changamoto ninaweza kumbana nazo kwenye mchakato wa kusajili bidhaa yangu, faida na hasara za kusajili au kuto sajili bidhaa yangu. Natanguliza shukrani.
   
 2. a

  amyna m Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jaribu kuangalia website zao wasome watakua na izo tip

  Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
   
 3. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,025
  Trophy Points: 280
  Unataka kusajili bidhaa gani ?? kwa matumizi gani ?? Toa habari zaidi kwa msaada wa kina !!
   
Loading...