Changamoto ninayoipitia kwenye biashara yangu ya CLEANING PRODUCTS.

Habibatamimu

Member
Joined
Oct 1, 2026
Posts
17
Reaction score
17
Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k

Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na kuitambulisha brand yangu.
Nmejalibu kutumia Facebook, tiktok , instagram na whatsup lakini bado response ni ndogo sana.
Wakat mwingine naposti bidhaa lkn hakuna anaye jibu wala kuulizo😔😓

Mtaji wangu pia ni mdogo, hivyo siwezi kutumia pesa nyingi kwenye matangazo au kugawa sampo kwa watu wengi.

Ningependa kupata ushauri kutoka kwa watu ambao wamewahi kuanza biashara wakiwa na mtaji mdogo.

Ni njia gani mlitumia kupata wateja wa kwanza na kuifanya brand yenu kujulikana?😔
 
Hongera sana. Mi sio mambo yangu, ila wakati tunasubiria wataalamu, Nina haya ya kushauri:

1. Ungejaribu kuanza na majirani kuwaonesha bidhaa zako, ata kuwapa sample kidogo. Ukisacrifise 1L unaweza wapa ata majirani watano na kuendelea. Kama bidhaa nzuri, watakusuport, na wao watakua mabalozi kwa wenzao.

2. Kuhusu WhatsApp, wengi ni ndugu, Jamaa, marafiki, classmates etc kwahiyo kama tunavyosumbuliwa kwenye michango ya harusi, wasumbue inbox sio status, mfuate mmoja mmoja inbox, waambie unabidhaa hii na hii na hii, kwa Bei hii, watakuungisha. Kama bidhaa nzuri, watarudi na watakutangazia kwa wenzao.

3. Kama jirani/mtaani kwako Kuna Guest Houses, Lodge, Bars, Shule za boarding, Dispensary nk karibu bahati Yako, kaongee na wamiliki/maboss/meneja, unaweza kuwapa ata sample, wakiridhika na huduma Yako, watakua wateja wa kudumu.

4. Kuhusu Instagram, Facebook, TikTok imagine wewe uko Dar hafu anaview mtu yupo Mwanza, kweli atasema Nitulie Lita 5?

My point, bidhaa Yako wateja wako wengi ni majirani zako, anzia locally kuibrand, itasambaa Mdogo Mdogo. Jitahidi iwe bidhaa boraz Bei nzuri na huduma Yako iwe yente.

Kila lakheri mpambanaji, utatoboa.

NB: Kama upo kwenye mji/jiji lenye watu wengi, Kwanini usianzishe na huduma ya usafiri majumbani, kufua kwa machine (drycleaner) etc kwasababu inaendana na bidhaa zako. Wabongo wavivu sana.
 
Wape mabinti wa kike warembo wapite kuuza maofisini. Kuna wanaume kazi zao katika hizi ofisi ni kununua chochote kinachouzwa na mabinti
Kama ulikuwepo vile 😂😂, tatizo madam kasema ana mtaji mdogo
 
Hongera sana. Mi sio mambo yangu, ila wakati tunasubiria wataalamu, Nina haya ya kushauri:

1. Ungejaribu kuanza na majirani kuwaonesha bidhaa zako, ata kuwapa sample kidogo. Ukisacrifise 1L unaweza wapa ata majirani watano na kuendelea. Kama bidhaa nzuri, watakusuport, na wao watakua mabalozi kwa wenzao.

2. Kuhusu WhatsApp, wengi ni ndugu, Jamaa, marafiki, classmates etc kwahiyo kama tunavyosumbuliwa kwenye michango ya harusi, wasumbue inbox sio status, mfuate mmoja mmoja inbox, waambie unabidhaa hii na hii na hii, kwa Bei hii, watakuungisha. Kama bidhaa nzuri, watarudi na watakutangazia kwa wenzao.

3. Kama jirani/mtaani kwako Kuna Guest Houses, Lodge, Bars, Shule za boarding, Dispensary nk karibu bahati Yako, kaongee na wamiliki/maboss/meneja, unaweza kuwapa ata sample, wakiridhika na huduma Yako, watakua wateja wa kudumu.

4. Kuhusu Instagram, Facebook, TikTok imagine wewe uko Dar hafu anaview mtu yupo Mwanza, kweli atasema Nitulie Lita 5?

My point, bidhaa Yako wateja wako wengi ni majirani zako, anzia locally kuibrand, itasambaa Mdogo Mdogo. Jitahidi iwe bidhaa boraz Bei nzuri na huduma Yako iwe yente.

Kila lakheri mpambanaji, utatoboa.

NB: Kama upo kwenye mji/jiji lenye watu wengi, Kwanini usianzishe na huduma ya usafiri majumbani, kufua kwa machine (drycleaner) etc kwasababu inaendana na bidhaa zako. Wabongo wavivu sana.
JIbu zuri sana
 
Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k

Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na kuitambulisha brand yangu.
Nmejalibu kutumia Facebook, tiktok , instagram na whatsup lakini bado response ni ndogo sana.
Wakat mwingine naposti bidhaa lkn hakuna anaye jibu wala kuulizo😔😓

Mtaji wangu pia ni mdogo, hivyo siwezi kutumia pesa nyingi kwenye matangazo au kugawa sampo kwa watu wengi.

Ningependa kupata ushauri kutoka kwa watu ambao wamewahi kuanza biashara wakiwa na mtaji mdogo.

Ni njia gani mlitumia kupata wateja wa kwanza na kuifanya brand yenu kujulikana?😔
NIngependa kuuliza package zako unatumia labels au ziko kwenye package tu?
Wanasema label huongeza thamani ya bidhaa
 
Kama bidhaa zako zina matokeo yanayoonekana, record video nyingi za ukionyesha before and after kisha post na lipia tangazo hata kwa 10,000 per day kwenye instagram
 
Unatambulisha. Brand mpya kuwa mvumilivu watu hawakuelewi mapema endelea kutoa elimu ya bidhaa yako usikomae kweny bei nafuu onyesha komaa kwenye thamani ya bidhaa yako hapo uta win jipe muda ukifanya biashara kwa pupa kukata tamaa ni mapema sana
 
Biashara/bidhaa mpya huchukua 1-2yrs kupenya sokoni. Consistency yako ndio itakuwahisha. Usichoke kujitangaza. Biashara imani na strategies.
 
Hongera sana. Mi sio mambo yangu, ila wakati tunasubiria wataalamu, Nina haya ya kushauri:

1. Ungejaribu kuanza na majirani kuwaonesha bidhaa zako, ata kuwapa sample kidogo. Ukisacrifise 1L unaweza wapa ata majirani watano na kuendelea. Kama bidhaa nzuri, watakusuport, na wao watakua mabalozi kwa wenzao.

2. Kuhusu WhatsApp, wengi ni ndugu, Jamaa, marafiki, classmates etc kwahiyo kama tunavyosumbuliwa kwenye michango ya harusi, wasumbue inbox sio status, mfuate mmoja mmoja inbox, waambie unabidhaa hii na hii na hii, kwa Bei hii, watakuungisha. Kama bidhaa nzuri, watarudi na watakutangazia kwa wenzao.

3. Kama jirani/mtaani kwako Kuna Guest Houses, Lodge, Bars, Shule za boarding, Dispensary nk karibu bahati Yako, kaongee na wamiliki/maboss/meneja, unaweza kuwapa ata sample, wakiridhika na huduma Yako, watakua wateja wa kudumu.

4. Kuhusu Instagram, Facebook, TikTok imagine wewe uko Dar hafu anaview mtu yupo Mwanza, kweli atasema Nitulie Lita 5?

My point, bidhaa Yako wateja wako wengi ni majirani zako, anzia locally kuibrand, itasambaa Mdogo Mdogo. Jitahidi iwe bidhaa boraz Bei nzuri na huduma Yako iwe yente.

Kila lakheri mpambanaji, utatoboa.

NB: Kama upo kwenye mji/jiji lenye watu wengi, Kwanini usianzishe na huduma ya usafiri majumbani, kufua kwa machine (drycleaner) etc kwasababu inaendana na bidhaa zako. Wabongo wavivu sana.
Sawa ntachukuwa ushauli wako asante
 
Biashara mpya, huwa inapitia changamoto ya kupenya sokoni

Kwahiyo utatakiwa kuendelea kuitangaza

Anza kuwatembelea wenye Lodges na Guest house, iwapo utakuwa na products nzuri huwezi kukosa wateja

Mimi nina Lodges, na ninatumia sabuni nyingi kwa mwezi

Lakini shida ni kuziamini sabuni nyingine, mara zote natumia Dexi kufulia na kudekia

Kuna jamaa nilimuungisha sabuni nyingi kutoka Arusha, lakini nimeishia kupata hasara maana sabuni zake hazina povu na hazinukii kama Dexi
 
Mimi sabuni zangu zina povu na pia zina perfume nzuri..
lakini pia hata dawaya tiles na sink inang'arisha na hata dawa ya madoa ya kwenye nguo ni nzuri majirani zangu wanaisifia..
Kiukweri sina shaka na bidhaa zangukwenye utendaji kaz wake
 
Basi anza kuwapitia wateja hao niliokutajia

Iwapo utakuwa na sabuni nzuri zenye ubora, hao watakuwa wateja wako wa kudumu

Then sisi wengine tutafuata

Kila la heri Mkuu
 
Lakini pia, social media kwasasa haihitaji upost bidhaa tu yaani picha au maelezo, anza kupost contents ambazo wewe mwenyewe unaonekana hii itakuongezea wafuatiliaji wengi ambao kimsingi ni rahisi sana kukuungisha/kununua bidhaa zako. Note: usitumie AI
 
Back
Top Bottom